BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mkuu kwenye miti unalala ukiwa juu ya mti? Mochwari unaenda kulala kichawi ili ukamilishe jambo au kipi hasa kinachokufanya ukalale sehemu ya kutisha kama mortuary?
Uchawi
Ulozi
Ushirikina
Hivi vitatu nimefanya navyo kolabo sana
Kulala makaburini...kwenye miti...kwenye mapango..mochwari...nknk
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app