:::closed_2::closed_2:
hahahaha Hommie maumivu ya kichwa huanza taratibu!!:glasses-nerdy::glasses-nerdy::nono::nono:
There is a drop of Greatness in every Man!!:focus:
:cheer2::cheer2:hahahaha Hommie maumivu ya kichwa huanza taratibu!!
BTW safari yangu AR nilifurahi saana......sikukukuu ya wakulima nanenane....!! Thanks kwa maombi hommie!! :amen:
Wewe mtu naona unaitafuta baghdad wewe??Jamani sikuizi hawa jamaa mbona nimwanzo mwisho!!wanagonga menyu na kubanjua!!Maisha yenyewe yakowapi ya bongo kudanganyana na akina kikwete eti maisha bora.....etc Zamani tukiwa watoto waisilamu wakifikia mwezi wa ramadhan wanita watu hili wafturu lakini siku hizi wanfunga mlango wala ujui nisaangapi wamefturu!!kazikwelikweli.