vIMADA LIKIZO NJEMA

vIMADA LIKIZO NJEMA

:glasses-nerdy::glasses-nerdy::nono::nono:
hahahaha Hommie maumivu ya kichwa huanza taratibu!!
BTW safari yangu AR nilifurahi saana......sikukukuu ya wakulima nanenane....!! Thanks kwa maombi hommie!! :amen:
 
ina maana ni hao wanaofunga ndio wako moto chini....?!!!
 
Malisak Post zako za hivi karibuni zinaashilia lipo li Kimada limekutenda vya kutosha ..nadhani ukitoka kwenye mfungo utakuwa na mbinu mbadala za kurekebisha tabia za vimada:A S 8::confused2:
Good Lucky
 
Jamani sikuizi hawa jamaa mbona nimwanzo mwisho!!wanagonga menyu na kubanjua!!Maisha yenyewe yakowapi ya bongo kudanganyana na akina kikwete eti maisha bora.....etc Zamani tukiwa watoto waisilamu wakifikia mwezi wa ramadhan wanita watu hili wafturu lakini siku hizi wanfunga mlango wala ujui nisaangapi wamefturu!!kazikwelikweli.
Wewe mtu naona unaitafuta baghdad wewe??
 
Back
Top Bottom