vIMADA LIKIZO NJEMA

vIMADA LIKIZO NJEMA

malisak

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2006
Posts
694
Reaction score
775
jAMANI VIMADA WOTE NAWATAKIA LIKIZO NJEMA KWANI WANAUME ZA WATU WANAINGIA MFUNGONI WATAKA KUPIKIWA FUTARI NA WAKE ZAO NA SIO KUWAPA SHIDA MUWAACHE KUWAKERA WAFANYE TOBA NA IBADA KAMA MWEZI UNAVYOTAKA.TENA MSIWASUMBUE KWA SMS WALA SIMU ZISIZO NA MSINGI WAONE MMETAHAYARIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII..................HAOOOOOOOOOOOOOOOOO NDIO MJUE HAMPENDWI MNATAMANIWAHAOHALOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Mmmmmh ni wote wanafunga???????????????????????????😛layball:
 
Hata kama hufungi ndio usiuheshimu mfungo kaka?.
 
hawawezi kuheshimu kwa muda wote mpaka wakati wa mfungo tu?
 
Mmmmmh ni wote wanafunga???????????????????????????😛layball:
Malisak ujumbe umefika, hila aisaidii ningekushauri ukampe huyo mwandani wako ushauri maana kama hautafunda vizuri atakuwa anapiga menu kama kawa na kubanjua as well!!!....Siku hizi makobe kibao kwa na maisha yamepanda juu!Nikiwa na maana katika utafutaji wasikuhizi nimpaka uwe umetia kitu tumboni!!!La sivyo unaweza kuanguka ukiwa kwenye foleni ukisubiri upitishiwe docoma yako!!au hata katika foleni za benki!!!:becky::confused2:
 
hapo ndio kipindi cha kuwatokea vimada vya watu (vimada makobe)
 
Kazi ipo.Kumbe kuna kipindi cha kutenda dhambi kwa makusudi na kipindi cha utakatifu?????
 
Na Mbuzi katoliki watakuwa na furaha kwa kipindi hiki.Vifo vyao vitapungua ,maustazi wanaklozi.
 
Jamani sikuizi hawa jamaa mbona nimwanzo mwisho!!wanagonga menyu na kubanjua!!Maisha yenyewe yakowapi ya bongo kudanganyana na akina kikwete eti maisha bora.....etc Zamani tukiwa watoto waisilamu wakifikia mwezi wa ramadhan wanita watu hili wafturu lakini siku hizi wanfunga mlango wala ujui nisaangapi wamefturu!!kazikwelikweli.
 
Senks Binamu.Lakin mbona hukunisubiri kule njiani???? macho yangu yote yalikuwa nje nakuangalia.....

hahaha we hukuniona tu ila mi nilkucheki nikaona kuna mtu anakukeep busy pembeni! nikajisemea tu ya nn maneno:glasses-nerdy:!!
 
hahaha we hukuniona tu ila mi nilkucheki nikaona kuna mtu anakukeep busy pembeni! nikajisemea tu ya nn maneno:glasses-nerdy:!!
hahahahaaaa.jamani unaanza kunichekesha asubuhi hii.Kwa hiyo unajiweka pembeni uepuke msongamano sio????Uliangalia vibaya bwana.Niliyekaa naye nadhani alikuwa hajui kiswahili.Alinuna mpka mwisho.....
 
:confused2::confused2::A S-confused1::A S-confused1::disapointed::disapointed::Cry::Cry::faint::faint::closed_2::closed_2:
 
hahahahaaaa.jamani unaanza kunichekesha asubuhi hii.Kwa hiyo unajiweka pembeni uepuke msongamano sio????Uliangalia vibaya bwana.Niliyekaa naye nadhani alikuwa hajui kiswahili.Alinuna mpka mwisho.....
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::nono::nono:
 
Back
Top Bottom