Vimebadirika ndani ya dakika 10 zilizopita

Vimebadirika ndani ya dakika 10 zilizopita

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Kataa salamu,salamu ni utumwa


Nimenunua kifurushi ndani ya dakika 10 zilizopita,hali ilikuwa hivi

Nilipewa GB 1.1 kwa siku 3(Airtel)

Lakini sasa hivi nimeingia tena nikataka kununu kifurushi kingine hii ndiyo niliyokutana nayo,yaani kwa bei hiyo hiyo kimepunguzwa hadi MB 900.

HII NI HATARI

Screenshot_20230605_164417_Phone.jpg
 
Gb 1.1 umeimaliza ndani ya dk 10[emoji16]em tuache ww!!!
 
Wameona huwezi jua tofauti ya 1.1Gb na 900mb,watumie meseji waaambie waache uhuni ushawastukia.
 
Mkuu unaonekana mzee wa mikeka sanaa wewe na airtel wanataka wakuchanganye na mikeka imeshakuchanganya
 
Back
Top Bottom