TUKANA UONE JF-Expert Member Joined Jan 3, 2018 Posts 2,345 Reaction score 6,970 Jun 5, 2023 #1 Kataa salamu,salamu ni utumwa Nimenunua kifurushi ndani ya dakika 10 zilizopita,hali ilikuwa hivi Nilipewa GB 1.1 kwa siku 3(Airtel) Lakini sasa hivi nimeingia tena nikataka kununu kifurushi kingine hii ndiyo niliyokutana nayo,yaani kwa bei hiyo hiyo kimepunguzwa hadi MB 900. HII NI HATARI
Kataa salamu,salamu ni utumwa Nimenunua kifurushi ndani ya dakika 10 zilizopita,hali ilikuwa hivi Nilipewa GB 1.1 kwa siku 3(Airtel) Lakini sasa hivi nimeingia tena nikataka kununu kifurushi kingine hii ndiyo niliyokutana nayo,yaani kwa bei hiyo hiyo kimepunguzwa hadi MB 900. HII NI HATARI
J Joline JF-Expert Member Joined Sep 24, 2020 Posts 4,541 Reaction score 7,378 Jun 5, 2023 #2 Gb 1.1 umeimaliza ndani ya dk 10[emoji16]em tuache ww!!!
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Jun 5, 2023 #3 Wameona huwezi jua tofauti ya 1.1Gb na 900mb,watumie meseji waaambie waache uhuni ushawastukia.
Aizn JF-Expert Member Joined Dec 14, 2022 Posts 2,172 Reaction score 4,196 Jun 5, 2023 #4 Mkuu unaonekana mzee wa mikeka sanaa wewe na airtel wanataka wakuchanganye na mikeka imeshakuchanganya
Mkuu unaonekana mzee wa mikeka sanaa wewe na airtel wanataka wakuchanganye na mikeka imeshakuchanganya
Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,166 Reaction score 5,620 Jun 5, 2023 #5 Mkuu mbona kama unakopa hapo?
N Nyegelee Member Joined May 30, 2023 Posts 55 Reaction score 202 Jun 5, 2023 #6 Nshomile wa Muleba said: Mkuu mbona kama unakopa hapo? Click to expand...