md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Watafiti nchini Cambodia (magharibi) wamegundua vimelea sugu vya malaria. Vimelea hivi vina uwezo wa kuhimili:
Link: http://www.nature.com/ng/journal/vaop/ncurrent/full/ng.2624.html
- Dawa za malaria za artemisinin (dawa hizi ndizo dawa zinazotumika kutibu malaria hivi sasa duniani), ALu (mseto) ikiwa ni moja ya dawa hizo!
- Hofu iliyopo ni kusambaa kwa vimelea hivi sugu katika maeneo mengine ya dunia, Afrika ikiwemo kama ilivyokuwa kwa vimelea sugu vilivyokuwa vinatibika kwa dawa kama Chloroquine na SP katika miaka ya nyuma.
Link: http://www.nature.com/ng/journal/vaop/ncurrent/full/ng.2624.html