Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yo Yo hizi ndio type zako nini?
arrg si bora nipige ngunga....
![]()
kuna vitu kama hiki ukinikuta nae pembeni lazima niwe na AK47
arrg si bora nipige ngunga....
![]()
kuna vitu kama hiki ukinikuta nae pembeni lazima niwe na AK47
why? kwanini?
nilishtuka.......mkuu ukipata namba yake naomba please......hivi anaishi mtaa gani jijini hapa? any infor mkuu nimwagie.....Mkuu Yo Yo unaweza ukaona msichana mzuri sana amekamilika kila idara... lakini kuna watu wanamkatia simu au kumzimia simu kabisa... anapowatafuta cna maana ya huyo hapo nilikuwa nina maana inawezekana naye akawa miongoni mwao...😕
Huyu mtoto pamoja na kwamba ni mzuri kuna watu wakiona anawapigia wanakata simu...😕😕
why? kwanini?
Mkuu Yo Yo unaweza ukaona msichana mzuri sana amekamilika kila idara... lakini kuna watu wanamkatia simu au kumzimia simu kabisa... anapowatafuta cna maana ya huyo hapo nilikuwa nina maana inawezekana naye akawa miongoni mwao...😕