Vinara wa kupachika mabao ligi kuu ya NBC hadi leo tarehe 27.10.23

Vinara wa kupachika mabao ligi kuu ya NBC hadi leo tarehe 27.10.23

'tatizo,mashabiki wa Simba mbumbumbu '
Labda hukuipata hiyo clip au hujaisikia vizuri au uneisikia lakini KWA makusudi unapotosha. Alisema baadhi. Kama hukulisikia neno Baadhi itafute ile clip tena.
 
Maumivu ya kichwa huanza poole pole! Utayasikia maumivu makaali kupita kiasi. Maumivu yakizidi, pata ushauri wa daktari.
Niumie kwa lipi? Huyo mtoa mada ndo ana maumivu...kama ww ni gt utanielewa kwanini nimesema hivyo...
 
Mtoe wewe
Mbona una kazi kubwa ya kujibu watu humu jukwaaani? Wengine hatutaki majibu ndo maana hukuti tuna reply reply watu...sasa ww kila anaesema kitu hakikupendezi ushamreply huchoki babu?
 
1)Rage mkutanoni alisema " ...... Baadhi yenu humu ni mbumbumbu....."

Unaelewa maana ya neno Baadhi.

2)Manara alisema "...... Pale Yanga wenye akili ni wawili......."
Alisema mashabiki wa simba ni mbumbumbu akiwemo yeye mwenyewe. Hakumuacha mtu hata mmoja,
 
Back
Top Bottom