Elections 2010 Vincent Nyerere... Leticia Nyerere... Fumbo kwa CHADEMA

Makongolo huyo huyo alikuwa akimpigia kampeni Vincent Musoma Mjini.

Tulieni tuwasulubu.

Ndiyo kwanza tunaanza. Na haturudi nyuma.

Kwa hiyo ni mnafik? Anauma huku anapuliza! Halafu unataka tumuenzi? Angeshinda Slaa bila shaka wengi wangetoka na kudai kuwa walikuwa wakimpigia debe chini chini. Wanafik watupu. Kama ni kweli unachosema kuhusu Makongoro basi ni uthibitisho kuwa hastahili kuenziwa. Baba yake wala asingejificha, angesema wazi wazi kuwa nani anaona anafaa.

Amandla.....
 

Sasa kama ni hivyo kwa nini mnawashangaa CCM kuwababaikia watoto wa Kikwete, Makamba, Mwinyi, Karume n.k. Si D.N.A ndiyo muhimu kuliko uwezo wa mtu? Hakuna mawazo ya juche hapa.

Amandla.....
Fundi Utumbo

 

Hujui sababu kwanini Mrema aliivuruga NCCR. Kwa hiyo automatically hujui kwa nini Makongolo leo yuko CCM.

Sawa Fundi Utumboro?
 
Hayaga ongwise bagugwa...litabanya balasi...lisangija....
 

Maono haya ni muhimu. Tutayatunza kwa reference
 
inapendeza sana kusikia kwako ng'wanangwa
 

Wengine tulimpigia debe, kushinda ameshinda, kura zake zikachakachuliwa. Hata hivyo, Mimi Rais wangu ni Dr. (PhD) Slaa.
Sidaanganyiki
 

Naheshimu mawazo yako FM. Lakini hoja iliyoko mezani bado ina mashiko. Naomba kunukuu mfano wa Biblia kuhusu baba yake na Yesu (mme wa Mariam), Mzee Yosef kutoka ukoo wa Daud. Yesu alipozaliwa, malaika alikuja na kuwatangazia wachungaji kuwa "katika nyumba ya Daudi amezaliwa mwana"...!!!! Kwanini iwe katika nyumba ya Daud na siyo Yosef? Daud aliyekuwa ameshakufa siku nyingi, kwanini atwae sifa ya mtoto asiyekuwa wa kwake bali wa Yosef?

Mungu anapochagua watu waaminifu kuongoza watu wake, huwabariki na ukoo wao pia. Daudi alitawala nchi ya Uyahudi na kisha mwanaye Mfalme Suleiman alirithi na kuonesha uwezo mkubwa katika utawala wake.

Sasa hata ssi hapa Tanzania, sa ajabu kwasababu safari hii tumeshindwa kumpata Dr Slaa kama rais wetu (ninampenda sana kwasababu ya uwezo na uzalendo wake) huenda ukoo wa Nyerere ndio utakuja kutoa kiongozi mwingine aliye bora katika nchi yetu. Hili linawezekana. Ngoja nikomee hapa kwanza...
 
Acheni kuzungumza kilugha hapa kwenye hii JF si kila mtu anafaham maana ya nyanoko..au nimekosea mkoi?
 
Nahisi kutokwa machozi mara baada ya kumaliza kusoma huo ujumbe mpwa.
 
Bwana fundi mchundo acha kuniangusha kwa kuamua kuwa mvivu wa kufikiri wakati najua hauko hivyo. Kuwa fundi mchundo haimaanishi uwe unafikiri short kati namna hiyo kwani kuna maprofesa wengi wamepitia ufundi mchundo mpwa.
 
Mkuu maneno yako ni makubwa muno. Nawaza na nakushauri ukopi maneno yote yaandikwe kwenye gazeti la watanzania,ili si mtanzania(cjui ni mtanzania gani wanamrefer,fisadi cjui?) nasema watanzania kama mwananchi ivi,itasaidia kuwakumbusha wananchi kuwa mwakilishi wa mwl amerudi kutunga sheria kwa niaba ya mwl! Mwl alisema mengi ktk siku zake za mwisho,mfano aliwaambia viongoz wa sasa wamechukua mambo ya kijinga na kuacha mazuri ya awamu ya kwanza,pia sifa ya uongozi siku izi imekuwa utajiri alionao mtu a.k.a ufisadi badala ya uwezo wake wa kuongoza! Mwl.alishachukia. Dr.Slaa alipoama chama waasisi walitetemeka, wakasema sasa nchi imeyumba itaangua upinzan ambapo waadilifu wamegeukia,aya ndo maono yanayoanza na safari ndefu ya akina Vicent kiboko nyerere na akina Leticia! Watz acheni utani,kila aliye kwenye ukoo wa mwl tumuheshimu ata kama ni kijukuu hawa wana baraka za Mungu kupitia kwa mwl. Pia Tz aitakubali kama si waadilifu,so as far as ni waadilifu tutazidi kuwaita mfano wa kuigwa. Vicent Nyerere mola kakupeleka Chadema ulete Unyerere ambao Ccm wameukana kwa matendo yao. Mh.onesha njia,sie tuko tunakanyaga unapotoa unyayo! Mungu akubariki,ibariki chadema ilete amani na maisha bora ee Mungu!
 
kama ni thaman ya baba tu kwa chama ..................tusishangae tukisikia January makamba kapewa uwaziri
 
kama ni thaman ya baba tu kwa chama ..................tusishangae tukisikia January makamba kapewa uwaziri

Yaani Makamba (Yusufu) unamfananisha na Harrace Kolimba??

Makamba hana thaman yoyote kwa CCM kama Chama mkombozi wa Wakulima na Wafanyakazi. Angekuwa ni Katibu bora asingeacha mwenyekiti wake akasimama mahali akatamka "sihitaji kura za wafanyakazi" akafunika kombe.

Na hapa hatuangalii thamani tu, tunaangalia na mchango pia. Makamba amechangia kwa kiasi kikubwa kukifanya chama kuwa cha mafisadi.

Katika hali kama hii ni ngumu sana familia ya muasisi wa Taifa hili kujihusisha nao.

(kwanza nikuulize swali dogo)

Hebu nitajie japo kasoro 2 za utawala wa Karume Mtoto? Mbili tu ambazo ni kubwa kiasi cha kufananishwa na za utawala wa Mkwere na Msambaa.

Kama hakuna, basi tulia tuwaenzi watoto wa waanzilishi wa Tanzania.
 

Du...Hivi hawa wana uhusiano wa damu na Mwalimu Nyerere? Kifalsafa je?
 
FUNDI MCHUNDO.....! nimekuwa nikigongana na wewe katika mijadala mingi......na hapa nagongana nawe pi....!
"KUMBE HAWA WOTE SI DAMU YA NYERERE" sasa mtoto wa mdogo naye anajiita kwa jina la baba mkubwa...... huyu ni "DIVORCED" naye bado asema ukoo wa alikotalikiwa....... na kama slaa akiwa rais nani atakiwa festi ledi wake?...... huyu mke wa mfanyakazi wa bandari ? au mbunge?
FUNDI MCHUNDO JIBU HOJA USIKIMBIE!
 


Nukta. Hapo siongezi neno.
 
Thank You Mr. Ng'wanangwa For This Useful Post:

Nimefarijika sana na ushauri wako kwani umeona mbali hata ccm huenda kusabahi kinafiki najua fika hawapendi nazaidi kuna watu wakuwatembelea kwa ushauri bilakujali itikadi mfano,
Butiku
Salimu Ahamed Salim
Warioba
Msuya
Hata wale wakongwe wa ccm walioondolewa kwakura zamaoni zaunafiki wanmambo mazito moyoni wanaweza kusema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…