Vinega Wamesanda

Vinega Wamesanda

one cater

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2014
Posts
368
Reaction score
153
Wale Wabishi Waliokua Wanajulikana Kama Vinega (Mapacha) Wapo Mjengoni Mawingu Studio, Wameamua Kumaliza Bifu Lao Na Mawingu, A a a a VINEGA Wamesanda.!!
 
Kwani kabla ya beef walifanya show ngapi labda??

Na baada ya beef watafanya ngapi labda....

Kama unaweza unaweza tu hata bila kubebwa ndio maana akina Rama dee wanasurvive hata bila promo.
 
Kwani kabla ya beef walifanya show ngapi labda??

Na baada ya beef watafanya ngapi labda....

Kama unaweza unaweza tu hata bila kubebwa ndio maana akina Rama dee wanasurvive hata bila promo.
ELIMU nayo kichwani ni muhimu...! na kujitambua wala siwalaumu!!
 
they have failed to update their ANTIVIRUS baada ya muheshimiwa ambae ndie aliyekuwa nguzo yao kuu kupunguza mchecheto, kutokana na yeye kuwa na uhakika na posho, so let them get destroyed with VIRUS sasa
 
Utamwamini vipi mwanaSiasa ye Sugu ndani ya v8 Posho daily na marupurupu kibao halafu umwambie habari hizo sasa hivi anaona unamchanganyia habari tuu. Sasa kama unafanya muziki njaa lazima na sio for leisure imekula kwako.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Sugu kawasaliti wenzake,kawatumia kwa interest zake alipowezwa akawaacha vinega.
BTW hakuna hata wimbo wa maana wa vinega,hata wakirudi kwa clouds nani asikilize nyimbo zao za kibangi bangi
 
Back
Top Bottom