Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Ungekuwa kijana ungefahamu maana yake
Hiko ni kilugha, sio kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungekuwa kijana ungefahamu maana yake
Hiko ni kilugha, sio kiswahili
Tafuteni Santuri/mixtape ya Nash Mc ndio mtaelewa jamaa kaongea nini juu ya harakati bubu kama za hao mapacha mawack!
Antivirus yangu mimi ndio inaua wadudu,
Ile ya Mh. mwenye vurugu tayari imeshatubu,
Harakati maghirini harakati bubu,
Zimaaaaaaaa
hahaha, usinunue ugomvi usiojua chanzo chake hawa jamaa watakuwa wamewaacha wenzao kama akina suma g, midomo wazi.
Ama kweli adui muombee njaa ila sidhani hata kama kuomba msamaha utawarudisha kwenye game nahisi kutawakosesha mashabiki hata waliokuwa nao.
Mbona karapina alivyomaliza tofauti na clouds still mpaka leo bado yuko vile vile
nabii koko
Hiko ni kilugha, sio kiswahili
kichwa kigumu lazima lugha iwe ngumu!!!Lugha ya wapi hii??
kichwa kigumu lazima lugha iwe ngumu!!!
Kwani naye ananjaa kama mapacha?
Hii inadhihirisha jinsi gani watanzania tulivyo waoga hatuziwezi harakati tunakata tamaa mapema