Vinega Wamesanda

Vinega Wamesanda

Waliachia na single pale mjengoni inaitwa "Time 4 the Money" haya jamani mida ya mitonyo hahahahaaaaa kwisha vinega.
 
hahaha, usinunue ugomvi usiojua chanzo chake hawa jamaa watakuwa wamewaacha wenzao kama akina suma g, midomo wazi.
Ama kweli adui muombee njaa ila sidhani hata kama kuomba msamaha utawarudisha kwenye game nahisi kutawakosesha mashabiki hata waliokuwa nao.
Mbona karapina alivyomaliza tofauti na clouds still mpaka leo bado yuko vile vile
 
nabii koko
 
vinega snitch tu njaaas inaeasumbua wnyw wamerudi clouds
 
Kwani naye ananjaa kama mapacha?

Ndo tumuulize, we unadhan jide analeta nyodo bure?? Ana uhakika na maisha yake hata asipoimba mwaka mzima bado ata survive, kimbembe akina kabwela sasa
 
Mapacha njaa inawasumbua heshima kwa Rama dee yupo mbele na amesema hataki harakati za kinafiki za wakina sugu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Hii inadhihirisha jinsi gani watanzania tulivyo waoga hatuziwezi harakati tunakata tamaa mapema

Ila harakati nyingine muwe makini na anayewaongoza, wengi wana malengo yao, na yakishatimia anawaacha njiapanda.
 
Kwani kabla ya beef walifanya show ngapi labda??

Na baada ya beef watafanya ngapi labda....

Kama unaweza unaweza tu hata bila kubebwa ndio maana akina Rama dee wanasurvive hata bila promo.

Ni Kutokujielewa.
 
Back
Top Bottom