Unafikiri hajaelewa.??
Nilipata F O level Katika Somo La Kiswahili.
bulldog..yaelekea hujaishi ama huna desturi ya kujichanganya na watu mtaa..hii itakuwia ngumu kudavua lugha ama niiteLugha za kienyeji hzi, sio kiswahili
bulldog..yaelekea hujaishi ama huna desturi ya kujichanganya na watu mtaa..hii itakuwia ngumu kudavua lugha ama niite
misamiati mipya ya kitaa.
Mytake;
Wa kishua wengi maneno au lugha nyingi za mtaani hawazijui.!!
Hizi harakati za ant-virus aliezianzisha ndo alieziua. The man behind this ni sugu mbona hamsemi.!!! mapatano yasiyo ya wazi kati ya sugu na ruge (clouds ) ndo yaliyovunja kila kitu. Sugu alishakua ruined politically akasahau harakat kabisaa
bulldog..yaelekea hujaishi ama huna desturi ya kujichanganya na watu mtaa..hii itakuwia ngumu kudavua lugha ama niite
misamiati mipya ya kitaa.
Mytake;
Wa kishua wengi maneno au lugha nyingi za mtaani hawazijui.!!
Hivi unafahamu kuwa aliezianzisha hizi harakati na Original Idea ya antivirus ni Mapacha? Sugu alizidandia tu halafu akazitumia kutimiza malengo yake na bahati mbaya ni kuwa yeye alionekana kama ana nguvu sana ndio maana Clouds walifight kutafuta suluhu na Sugu tu,walijua wakisham-neutralize hawa wengine watajisalimisha mmoja mmoja, Sugu ndio aliyeyumbisha malengo ya wenzake. sasa sijui Kina Danny Msimamo, Suma G, Adili, Mkoloni, Soggy, nao kama watajirudi. Peenlawyer na Rama dee wako zao ughaibuni wanafanya yao.
Clouds ni taasisi yenye mizizi ambayo ni vigumu msanii mmoja mmoja kupambana nayo......sasa hivi ni dhahiri hata Lady Jaydee atasanda kwajinsi ninavyowasoma wanachofanya kumkomoa......ukitoa kuziba mirija yake muhimu....Clouds wameamua kupatana na maadui wao wengi huku Jaydee akibaki na sapoti ndogo ya wasanii wenzake.
Tatizo la vita dhidi ya unyonyaji wa kazi za wasanii ni wasanii wakubwa wanaokuja kukorofishana na Clouds ni baada ya wao binafsi kuguswa lakini si kuangalia maslahi ya sanaa bila kujali kama bado haijakugusa.......mtu kama Diamond akilizwa na hawa mapromota na mameneja ndio utaona anaungana na Jaydee kulalamika.......
Vita hii haitoshinda sababu wanaopigana wanaangalia maslahi yao binafsi kisanaa na sio industry kwa ujumla hivyo matatizo yake binafsi yakitatuliwa ugomvi unakwisha.......Nadhani wasanii watulie wafanye kazi kwakuwa industry inakuwa kubwa automatically tutakuwa na akina Clouds wa kutosha hivyo kutoa fursa kwa wasanii kuamua kusimama na nani..........taasisi yenye sauti kwa wadhamini wengi.........serikalini.........mikono karibia kwenye kila sector ya entertainment........si rahisi kuiyumbisha na Sugu aliweza kuwayumbisha sababu siasa ilipenya (bila kusahau debe la humu JF) na kuwafanya Clouds wakubali suluhu kirahisi.......