Vingozi wa nchi waliokumbana na mazito

Vingozi wa nchi waliokumbana na mazito

Valentine Stressor kama sijakosea.
Huyu hakuwa Liberia alikuwa rais wa SIERA-LEONE alipindua kijeshi, sasa hivi anakaa banda la nyuma la nyumba ya mama yake na anakunywa kangara.
 
Pamoja sana mkuu, nafikiri hapajawahi kutokea mkuu wa nchi kwa maana ya rais Africa mwenye umri mdogo kama wake by that time mpaka sasa.
Sio wa Liberia huyo
 
Back
Top Bottom