Vingunge vs Kinje Kingunge, Court bans disco at Masaki Bar

Vingunge vs Kinje Kingunge, Court bans disco at Masaki Bar

Huyu Kinje juzi kwenye party kaleta fujo na kuanza kuvurumisha mitusi, Rita Paulsen naye inaonekana ameshamove on he he.
 
Hatuna sheria za kuanzisha bar na disco katika Tanzania zaidi ya kuwa na leseni ya biashara. Kinje anafanya biashara hiyo baada ya kupata leseni ya biashara toka sehemu husika.

Kama biashara kama hiyo inafanywa kihalali sehemu nyingi za jiji la Dar na sehemu nyingine nchini kwanini isifanywe masaki na o/bay?.

Masaki na o/bay kwa sasa ni uswazi kama sinza, ingawa kipindi cha nyuma sehemu hizo zilikuwa ni kwa ajili ya viongozi wa ngazi za juu wa serikali na mashirika kama hao akina Nyalali nk na ndiyo maana sehemu ilikuwa inaheshimika ama ilikuwa inapewa hadhi. Lakini sasa sehemu imeuzwa kwa yoyote yule mwenye mapesa yake, sasa mnashangaa nini kufanyika biashara kama hiyo?. Kama ni halali kufanyika kwa biashara hiyo Mwenge kwa mama chambo kwanini iwe haramu masaki kwa Nyalali?.
 
acha hao wakubwa wapige kelele, wanapiga kelele za kusumbuliwa kwa nini? hiyo orodha iliyotajwa ya waliokwenda mahakamani, kuna majina kama Kahama na nyalali. Hao si waume zao au familia zao zilishakaa sana madarakani na ndo waliohusika na hii mipango miji mibovu tunayoiona sasa hivi na matokeo yake ndo hayo ya kwenda kuweka discotheque kwenye residential area bila kuwa na sound proof? let them suffer the situation they help to flourish.
 
Huyu Kinje juzi kwenye party kaleta fujo na kuanza kuvurumisha mitusi, Rita Paulsen naye inaonekana ameshamove on he he.

Hii ilipaswa kuwa breaking news ki namna flani.Magazeti ya udaku yameogopa kuandika pengine kwa kuhufia bastola ya Kinje.

Icadon,mwaga mkanda mzima mkuu...na hiyo ya Rita Paulsen umeniacha kizani

Pleeeeez
 
masaki, or the greater part of it is a residentilal area. It is inappropriate that Kinje should operate a disco there during indecent hours. It doesnt matter whether niwakubwa au nani anacomplain. Huyo alietoa mfano wa mwenge, there is no way they could convice me that they would be pleased with someone creating a disfaivorable environment when they are trying to sleep. This is not about Mrs Nyalali or anything like that. It's a simple case of what is right and what is wrong.
 
Kinyambiss,

Mwenge, Sinza, Ilala, Buguruni, Manzese nk kote wanaishi watu kama hao watu wa masaki na o/bay. Huko Mwenge, Sinza ukanda wa gaza, Ilala, Buguruni na Manzese biashara hiyo inafanywa katika residence na ni mpaka majogoo yanawika. Kumbuka kwamba biashara hizo zinafanywa kwa leseni kutoka sehemu husika. Sasa kama zinafanyika sehemu nyingine kwanini zisifanyike masaki na o/bay?. Mwenge, masaki, sinza, Ilala, Buguruni yote ni Tanzania.

Kitu cha maana hapa ni kuangalia sheria inayoruhusu biashara hii na mipango miji wanavyofanya kazi zake.

Mimi ni mkazi wa mwenge na nyumba yetu inapakana na hii bar/grocery tumefanya kila liwezekanalo kupinga hali hiyo ikiwa ni pamoja na kwenda mahakamani lakini wapi mpaka leo biashara hiyo ipo tena 24/7.
 
Hii ilipaswa kuwa breaking news ki namna flani.Magazeti ya udaku yameogopa kuandika pengine kwa kuhufia bastola ya Kinje.

Icadon,mwaga mkanda mzima mkuu...na hiyo ya Rita Paulsen umeniacha kizani

Pleeeeez

Nakupa hiyo kitu PM
 
mtambo,
I agree with you on the proposed legislative review. Lakini I think if there were to be judicial precedence from the courts ruling that such operation was wrong or atleast disagreeable (although judges cant rule against the law) itasaidia kuongeza the pressure for change.. Nadhani utakubaliana nami kwamba two wrongs don't make a right. Kama unamtoto mmoja kilema na mmoja mzima, you dont go and break the second one's leg to make them equal.
 
People, what we see all over DSM and Tanzania at large is an extreme case of orderless state. We have some very good laws. But the state is just orderless. I mean We do not follow the laws our representative enacted for us. Now in this case of establishing bars/night clubs in residential areas is just one case of orderless people. Kinje might have the permit to his establishment, given to him by the relevant authority. In other words he has all the right to have what he has there. My opinion: I think we have misdirected our attacks. Instead we shoulf focus to the relevant authority which gave the permit. What am saying good people,there is a big chance of curruption here. In this case be it masaki or buguruni. Everyone who has a bar in a residential area, we should first question how did they get the permit to establish a business place in the midst of residential area. I believe this is what the residence of masaki are trying to set forth. For those of buguruni,sinza,mwenge etc,it is high time for you to learn and persue the proper channel to air your grievances. If you feel your right to peaceful enjoy your residential area which were given to you by the same authority for that purpose, has been infringed severely and immeasurably, I got one word for you, SUE instead of saying its alright for a bar to in the midst of residential area in masaki because there are lots of bars in sinza,buguruni,ilala,kinondoni etc!!
 
nimefurahi kusikia hivyo naomba mungu waiban kabisa au kuweka closing time iwe mapema ila muziki no imagine ao majirani wa bar katika kuishi hapo hawalali kwasababu ya mtoto wa kingunge

hii itawaonyesha hao vingunge kuwa wanawezana na sie walala hoi tutawapeleka kortini

tusubiri tuone matokeo
 
Tanzania inaeleka wapi?

Ndugu yangu angalau hata tungejua tunaenda wapi. Mtoto wa waziri aliyesomea propaganda Romania, shule kashindwa, the best he can do is to run a brothel kwenye maeneo yasiyohusika. Ukibisha unatwangwa risasi.

Hii ni case moja out of thousands na kusikia nyingine kama hii subiri mafisadi watoweke na watotot wao na wajukuu; na hii imekuwa hivyo kwa vile ni vizito against vizito otherwise mtu wa Sinza hana hata na pesa za kuweka wakili wa kwenda High Court moja kwa moja, sana sana ingeishia Kinondoni.

Hapo ndipo tulipo na tunakoenda ni kuzimu.
 
Hii kesi ilifunguliwa na mama nyalali na mama kahama, hawa ni vigogo kuliko kinje ndo maana imesikilizwa.

sasa sisi wa sinza itakuwaje? kwani hizo sio baa tena ni madanguro! bora hawa wamelalamikia sauti za mziki! sisi ni sauti za matusi ya nguoni, na miguno ya machangu wanaoliwa mande kando kando wa hayo mabaa, hii harufu ya vinyesi vya ng'ombe na ngurue koko we acha tu! bado mbwa koko waliozagaa majalalani.
 
Haya mambo ya nuisance ya kelele kutekeleza kisheria ni changamoto kubwa na almost impossible kutokana na kushindw kutekekeza mipango miji sahihi.

Tuachane kwenye mabaa twende kwenye makanisa. Pale nyuma ya Ubungo Plaza kuna makanisa matano kwenye eneo linalolingana na viwanja vinne vya mpira. Na mikesha inafanywa. Ukisema upambane hutafika mahali kesi itaishia kwa Bashite. Wakati kwa asie muumini wa dini husika ukimpigia kelele saa saba usiku ni nuisance tu bila kujali zinatoka kanisani au kwenye bar!!!
 
Back
Top Bottom