Trump hana lolote yule kelele nyingi tu majeshi wa Marekani walio jitolea kwenda Ukraine wanalia kama watoto. Wanasema ile vita ya Russia na Ukraine sio vita walio zowea kupiga wao tu.Watu wa mwanzo kabisa waliowekwa sawa na Trump ni pamoja na Putin. Watu hawakuelewa; Ayatollah alikuwa anazungukwa na amejaa tayari!
Na ww mwambie Netanyau ajaribu kama anavyo jitapa ili tujue mbivu na mbichi, maana haya maneno yake ni zaidi ya miaka 20 tunayasikia.Mwambie kama anaweza akajaribu kama hataangukia pua!!!
Jinyooshe kwanza ww kwa kujinunulia lishe maana umejaa utapia mlo mpaka kichwani.Safari hii Mtanyooka tu!!
Wewe Naona unajifurahisha tu wala hujui nini kinaendelea sasa hivi kwa AyatollahTrump kamuita kenge pale white house akamuambia sisi tunaongea na Iran huko Muscat, ikabidi Nyau abadilike alidhani Trump atamtisha Iran. Huyo Trump alicho kataa mwanzo mazungunzo na Iran kaenda wapigia magoti kule Muscat kwa kusema yuko tayari kwa mazungumzo. Vitisho vyake vyote vimeishia wapi? Tuliwambia US hawezi gusa Iran.
Hujaelewa thread au? Huoni wamepewa options? Topic ni Iran unaleta mambo ya Gaza.Kwahiyo wanasubiri kutumia akili gani hiyo ambayo haitaleta madhara?
Hizo akili mbona hawazitumii huko gaza ambapo wanauwa watu kama wanyama?
Mm tangu najitambua wimbo wa Israel ulikuwa ni tunajiandaa kuviharibu vinu vya Nyukiria vya Iran, leo hii umepata fursa ambayo ulikuwa unaisubiri kwa miaka zaidi ya 20 mwisho wa siku unaishia kurusha vikombora uchwara kutoka kwenye ndege na bado vinatunguliwa.
Basi tuseme vinu vya nukilia waliogopa madhara vipi kuhusu visima vya mafuta? Mbona hawakuthubutu kuvishambulia?
Unadhani vita ni rahisi eti?
Hujui unaloongea unabwabwaja tu kujifurahisha mwenyewe!!Trump hana lolote yule kelele nyingi tu majeshi wa Marekani walio jitolea kwenda Ukraine wanalia kama watoto. Wanasema ile vita ya Russia na Ukraine sio vita walio zowea kupiga wao tu.
Marekani sasahivi maisha magumu kuliko bongo
Wenda ww ndo kichwa chako hakiko sawa, ww ndo umeleta habari za madhara ndo maana nimekuuliza hayo madhara mbona hawayaoni huko gaza ambapo wanauwa watu kama nguruwe ila wana yaona kwa Iran?Hujaelewa thread au? Huoni wapewa options? Topic ni Iran unaleta mambo ya Gaza.
Hiyo ndiyo TAQIYYAH?Wenda ww ndo kichwa chako hakiko sawa, ww ndo umeleta habari za madhara ndo maana nimekuuliza hayo madhara mbona hawayaoni huko gaza ambapo wanauwa watu kama nguruwe ila wana yaona kwa Iran?
Na nimekuuliza watatumia akili gani hiyo uliyo isema ili kusiwe na hayo madhara uliyo yasema?
Aliye pewa options ni Israel baada ya kushambuliwa kwa makombora alikuwa na machaguo mawili shambulia vinu vyetu vya nyuklia,na miundo mbinu yetu ya kiuchumi vizuke vita kamili au fanya shambulizi la kupoteza aibu ili uonekane umejibu ili maisha yaendelee kama kawaida, bila shaka chaguo alilo fanya Israel unalijua.
Option 1: viangamizwe kwa njia ya mazungumzo elseWenda ww ndo kichwa chako hakiko sawa, ww ndo umeleta habari za madhara ndo maana nimekuuliza hayo madhara mbona hawayaoni huko gaza ambapo wanauwa watu kama nguruwe ila wana yaona kwa Iran?
Na nimekuuliza watatumia akili gani hiyo uliyo isema ili kusiwe na hayo madhara uliyo yasema?
Aliye pewa options ni Israel baada ya kushambuliwa kwa makombora alikuwa na machaguo mawili shambulia vinu vyetu vya nyuklia,na miundo mbinu yetu ya kiuchumi vizuke vita kamili au fanya shambulizi la kupoteza aibu ili uonekane umejibu ili maisha yaendelee kama kawaida, bila shaka chaguo alilo fanya Israel unalijua.
Iran is located in the Middle East and also borders the Persian Gulf, making it part of both regions.For your Information Iran is not in Middle-east!! Is in Gulf!!!
Ulianza kiingereza twende na kiingereza mpaka tuelewane na kwa nini umerukia kiswahili nini kimekushinda?Iran is located in the Middle East and also borders the Persian Gulf, making it part of both regions.
Wew ni mpumbavu sana, na huoni aibu kujionesha jinsi ulivyompumbavu na mpo wengi sana humu. Itakua ulizaliwa breech baby.
Nipo dynamic wala siongozwi na vichwa panzi kama wewe.Ulianza kiingereza twende na kiingereza mpaka tuelewane na kwa nini umerukia kiswahili nini kimekushinda?