Vinu vya ki-nuclear vya Iran lazima viangamizwe kwa mazungumzo bila hivyo nguvu za kijeshi zitatumika dhidi yake-Benjamin Netanyahu

Vinu vya ki-nuclear vya Iran lazima viangamizwe kwa mazungumzo bila hivyo nguvu za kijeshi zitatumika dhidi yake-Benjamin Netanyahu

Breech baby
Si ulijifanya kujua kiingereza? Kwa hiyo unaandika kiingereza Uchwara kuwatisha wajinga na wapumbavu kama wewe? Acha ujinga wako tuendelee na kiingereza mpaka tuelewane!! Na usinikimbie mjinga wewe!!
 
Option 1: viangamizwe kwa njia ya mazungumzo else
Option 2: nguvu za kijeshi zitumike - the worst option.
Nini hakieleweki hapo? Halafu jifunze kufupisha maelezo.
Unaniambia nifupishe maelezo kwani simu ulininunulia ww au vocha unaninunulia ww mpaka unipangie namna ya kuvitumia.
Aliye pewa options ni Israel tena yeye hakupewa kwa maneno kama Netanyau anavyo bwabwaja bali alipewa options kwa kipigo cha makombora ila akiishia kujinyea nyea tu.
Yaani uogope kuviharibu vinu hivyo baada ya mtu kuipiga nchi yako na makombora zaidi 200 ila uje uviharibu bila kurushiwa hata jiwe?
 
Mwanaume kaongea uyu hapindishi nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi sio kama wale jamaa zetu wazee kutumia vikundi vya kigaidi kupigania maslahi yao
Nahisi hata mama ako unamgaia bureeee
 
Unaniambia nifupishe maelezo kwani simu ulininunulia ww au vocha unaninunulia ww mpaka unipangie namna ya kuvitumia.
Aliye pewa options ni Israel tena yeye hakupewa kwa maneno kama Netanyau anavyo bwabwaja bali alipewa options kwa kipigo cha makombora ila akiishia kujinyea nyea tu.
Yaani uogope kuviharibu vinu hivyo baada ya mtu kuipiga nchi yako na makombora zaidi 200 ila uje uviharibu bila kurushiwa hata jiwe?
Makombora 200! Endelea kukariri! Ulifundishwa imla? Ondoa maneno yasiyo na umuhimu kwenye maelezo yako. Miongoni mwa kanuni za uandishi bora ni hiyo.
 
Mjinga wewe Mwamba kasema hivi: Makubaliano hayo na Iran yanakubalika iwapo tu maeneo ya Nuclear yataharibiwa chini ya usimamizi wa Marekani. Vinginevyo, chaguo la kijeshi ni chaguo pekee. Huko Gaza, tumedhamiria kuharibu Hamas na kuwarudisha mateka wote nyumbani." Mwisho wa kunukuu alivyosema Mwamba waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu a.k.a. BIBI.

View: https://x.com/vividprowess/status/1909638032577167381?s=61
 
Ubabe usiokua na Mashiko,
Israel na USA wote Wana nuclear

Ila wanawashinikiza wenzao wasiwe nazo ili wabaki nazo wao TU peke Yao.

Huu ni udikteta mamboleo
 
North Korea anavochukiwa na mabeberu, bila nuclear tayar keshavamiwa.
 
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anasema makubaliano ya Iran yatafanya kazi tu ikiwa vituko vyake vya Nuclear vitalipuliwa, vinginevyo nguvu ya kijeshi itatumika.

Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu anasema kuwa makubaliano kati ya Marekani na Tehran yanaweza tu kufanya kazi ikiwa vifaa vya Nuclear vya Iran vitalipuliwa na kuvunjwa.

Baada ya ziara ya White House ambapo alijikuta bila kutarajia na hadharani kutopatana na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu masuala muhimu, Netanyahu anajaribu kuweka mwelekeo chanya katika ziara hiyo huku akitoa misimamo yake kuhusu mazungumzo ya Nuclear ya Iran, ushuru wa kibiashara, na mivutano na Uturuki.

Kuhusu Iran, Netanyahu anasema katika taarifa yake ya video kwamba yeye na Trump "wanakubaliana kwamba Iran haitakuwa na silaha za nyuklia."

Anasema kuwa lengo hili linaweza kufikiwa kidiplomasia, lakini tu ikiwa ni sawa na uondoaji wa silaha za Nuclear wa 2003 wa Libya, wakati ambapo majeshi ya Marekani yaliharibu au kusafirisha vipengele vya mpango wa nyuklia wa nchi hiyo. "Tunaingia, kulipua vifaa, tunabomoa vifaa vyote, chini ya usimamizi wa Marekani na utekelezaji wa Marekani - hiyo ni nzuri," anasema Netanyahu.

Iwapo hilo halitafanyika na Iran ikajiondoa tu kwenye mazungumzo, basi "chaguo ni la kijeshi," anasema, akiongeza kuwa yeye na Trump walijadili tukio hilo kwa kirefu.

Kuhusu ushuru, Netanyahu anasema amejitolea kupunguza nakisi ya biashara na Marekani hadi sifuri.
"Hili ndilo jambo dogo zaidi tunaweza kufanya kwa Marekani na rais wake, ambao wanatufanyia mengi," anasema Netanyahu.

Akigeukia Syria, Netanyahu anasema kuwa Uturuki inataka kuanzisha vituo vya kijeshi huko, na "hii ni hatari kwa
Israeli."

"Tunapinga hili, tunafanya kazi dhidi ya hili. Nilimwambia Rais Trump, ambaye ni rafiki yangu, pia rafiki wa Erdogan: 'Ikiwa tunahitaji msaada wako - tutazungumza nawe kuhusu hilo.'

Trump alimsifu Erdogan kwa kirefu wakati wa mkutano wao wa Oval Office jana.
Netanyahu anasisitiza kuwa Israel inasalia na nia ya kuiangamiza Hamas, na kuwarudisha nyumbani mateka wote.

"Rais alinitazama na kuwaambia waandishi wa habari pale: 'Mtu huyu anafanya kazi wakati wote kuwakomboa mateka," anasema Netanyahu, akirejea taarifa za Jumatatu katika Ofisi ya Oval. "Natumai kuwa kwa hili, amevunja uwongo unaoenezwa kila wakati kwenye habari kwamba sifanyi kazi kwao, kwamba sijali."

“Ilikuwa ziara nzuri sana,” anasisitiza, “ziara ya uchangamfu sana, na kuna mambo mengine mtayasikia baadaye.”

View attachment 3297115
kwani si mlituammbia hivyo vinu vilishalipuliwa na wale malaya kupitia iraq last year,tuliwaambia hakuna walichofanya na videge vyao ndo maana bado wana haha na wakibugi step Iran atawaangamiza wote mtu na shoga yake gigy na amber lulu
 
Back
Top Bottom