Vinyago/midoli vina roho

Niliwahi kuona sinema moja kunakiwanda chakutengeneza madoli kilitengeneza madoli yakadhuru familia za watu worldwide siikumbuku jina sinema yenyewe ila hata night museum ni hatare hivi vitu.
 
Mshana ni vema ungetuletea ushahidi wa maelezo yako,ukitoa mifano ya midoli au sanamu zilizowahi kuonyesha kuwa zina Roho.
 
Mshana ni vema ungetuletea ushahidi wa maelezo yako,ukitoa mifano ya midoli au sanamu zilizowahi kuonyesha kuwa zina Roho.

Ninavyo vingi tu ila nimevifungia kwenye chumba maalum, navitumiaga kwa shughuli maalum..
 
Hicho kiweke tu lakini sio chumbani

Mkuu nina kimdoli cha mbwa, yaani huwa nakitumia kuwatishia sana watoto hapa mtaani, hasa watoto wasiopenda kula, sasa leo naona ni zamu yangu kutishwa na mdoli wangu mwenyewe.
 
Mkuu nina kimdoli cha mbwa, yaani huwa nakitumia kuwatishia sana watoto hapa mtaani, hasa watoto wasiopenda kula, sasa leo naona ni zamu yangu kutishwa na mdoli wangu mwenyewe.

Hahahaahaaaaa
 
Hahahaahaaaaa

mshana pia waambie wale wapiga punyeto kuwa zile mbegu zinapotoka zinakuwa zina uhai hivyo ktk ulimwengu wa roho huchukuliwa na ndio hutumika kutengeneza majini, jamani tuache huu mchezo ni hatari kiafya na kiroho
 
Hata kutupa condom gesti ni jambo baya Sana, zina wateja wake ambao huenda kufanya mambo ya ajabu ajabu
 
huyu jamaa kwa story za kusadikika hodari sanaaaa sasa hyo midoly yenye roho unaionaga peke yako kwa kua na wewe mdoly mwenzao .......au
 
midoly ipo home mingi mnoo na hakuna hata uliowah kufanya moja wapo ulilosema acha uongo .....we mpare mshirikina
 
huyu jamaa kwa story za kusadikika hodari sanaaaa sasa hyo midoly yenye roho unaionaga peke yako kwa kua na wewe mdoly mwenzao .......au

unapambana na nani wewe mganga wakienyeji

Usifanye haraka ya kupost tulia uandike kitu cha kueleweka... Huu ni mtandao wa kijamii hata kunguni na viroboto wamo, usitumie nguvu nyingi kujaribu kupambana na usiyemjua ni upumbavu wa kiwango chake
Naona kwa siku za karibuni mmejimobilise kupambana Namimi kwa hoja za kipuuzi matusi na kejeli... Inashangaza mno
 
Tuzidi kukumbushana hasa kwa wale wazazi na walezi wenye watoto
 
Huyo Mchungaji mwenyewe ndiye alikuwa roho chafu!
 
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli,
pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.

hao mbona wapo!! tena sanamu lenye taswira ya mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…