Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kiweke tu lakini sio chumbani
Hahahaahaaaaa
mshana pia waambie wale wapiga punyeto kuwa zile mbegu zinapotoka zinakuwa zina uhai hivyo ktk ulimwengu wa roho huchukuliwa na ndio hutumika kutengeneza majini, jamani tuache huu mchezo ni hatari kiafya na kiroho
Sikitoagi hovyo hiki halafu hakitoki kwenye mkoba wangu...!labda nyakati za dharura tu mapambano yanapozidi
huyu jamaa kwa story za kusadikika hodari sanaaaa sasa hyo midoly yenye roho unaionaga peke yako kwa kua na wewe mdoly mwenzao .......au
unapambana na nani wewe mganga wakienyeji
Ukijaribu kuchek altare yeyote lazima kuwe na symbol au ishara ya roho husika wanayoiabudu, inayowapa ulinzi n.k. Katika baadhi ya ishara ni kutumia midoli/sanamu, picha au idol yeyote. Hapo ndo huwa ile spiriti imepaweka kama sebule yake so muda wote hupatikana, ndio maana kama mganga au mchawi akizidiwa nguvu au kushndwa kufanya jambo fulani ukimbilia kwenye altare yake aka kiringe. Sasa hii miungu sometimes inawapa oda waumini wake kuweza kuwajengea altare nyingine, so wanacho kifanya ni kufanya ibada na kuingiza hizo roho kwenye picha,vinyago,midoli,kacha za kuvaa, cheni,pete n.k
So unaponunua kitu hiko na kukivaa au kukiweka mahali popote kwako endapo kinakuwa kina roho fulani unakuwa umemkabidhi mamlaka ya sehemu husika na inakuwa kama altare yake mwisho wa siku unakuwa unauabuduu bila wew kujua hilo.
Cha kufanya ni kama unapenda vitu vya aina hiyo ni vema una vunja na kutoa roho zilizopo, kama umekaa vibaya jua hizi roho zitarudi kwa revenge so jipange. Njia sahihi ya kubaki salama ni kupoetezea hivyo vidude
Huyo Mchungaji mwenyewe ndiye alikuwa roho chafu!Kuna kanisa moja niliwah kusali mchungaj alituagiza waumin wenye midoli na kadi zile za wishes like Xmas cards or birthday cards tuzipeleke kanisani na zilichomwa zote ,pastor alisema tunahifadh roho wachafu nyumban wanaokaa kwenye midol na hizo cards
Kweli kazi ipo😉😉
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.