SOLDIER GENIUS
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 358
- 241
Maana watutisha atiiHizi comments/replies zenu zimeniacha na tabasamu
Nnao mmojaNahisi kwa vyovyote utakuwa una midoli kibao home
Bear niliukosa spider hahahaSorry ni wa mnyama gani?
Duu ngoja ntabadilishaAvatar yako imekaa kispider....wewe unaweza usione lakini ndivyo ilivyo
PoaHapana it's looks wonderful, halafu tayari huo ndio utambulisho wako hapa
Huyo Mchungaji mwenyewe ndiye alikuwa roho chafu!
Hii inatishaHii ni roho ni kibwengoView attachment 259310kinatumika sana kwenye ngoma ya madogoli