Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si hivyo tu,hata haya mapicha tunayobandika ukutani katika nyumba zetu sio mazuri,nilikuwa na shemeji yangu anasumbuliwa na majini kila masheikh wakija kumwombea anapona wakiondoka tu yanarudi,kuna siku akaja sheikh mmoja kumsomea dua alivyoona sebule imejaa mapicha akaomba picha zote ziondolewe kwanza,zilipoondolewa zile picha,akaanza kusoma dua yale majini yakaanza kulalamika kuwa yameondolewa maficho yaoMi niliambiwa midoli vinyago si mizuri kuweka ndani nikawaga siamini mana nilikua naipenda kuiweka sebuleni. Sasa siku moja nikiwa nimelala nimeiweka pembeni nikaona mdoli una nyanyuka na kunirukia nilipiga makelele ya hatari na kutetemeka juu. Tangia siku hyo nimekoma hata kuibeba. Kweli vinyango ni ma spirits machafu kabisa na inaweza ikawa inaleta mikosi.
Kuna huu mtindo wa kuchora mapicha ya ajabu kwenye kumbi za starehe.... Ukifika usiku huwashwa taa za kufifia na mziki mnene.. Basi majini wachafu na maruhani wote huhamia haposi hivyo tu,hata haya mapicha tunayobandika ukutani katika nyumba zetu sio mazuri,nilikuwa na shemeji yangu anasumbuliwa na majini kila masheikh wakija kumwombea anapona wakiondoka tu yanarudi,kuna siku akaja sheikh mmoja kumsomea dua alivyoona sebule imejaa mapicha akaomba picha zote ziondolewe kwanza,zilipoondolewa zile picha,akaanza kusoma dua yale majini yakaanza kulalamika kuwa yameondolewa maficho yao
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...
Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.
Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.
Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....
Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Doh hatari[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 741629
[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya ni madogoli sio midoliView attachment 741665hii bila hata kuuliza inaonesha kabisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna huu mdori umecheza film unaitwa CHUCKY, unaukumbuka?
![]()
Sasa kuna mwingine amefahamika anaitwa Black Chucky.... Anabamiza watoto si kawaida.
Yanatisha kinoma[emoji23] [emoji23] [emoji23] haya ni madogoli sio midoli