Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

This is so true. Mama angu alimwa sana ugonjwa usiojulikana yan kila mtu alijua anakufa tulihangaika hospitali lakini wapi akaanza kuwa kama anapagawa na mapepo au anachanganyikiwa hivi. Sasa akaja mchungaji kumuombea aakamuombea sana na badae akafanya maombi nyumba mzima. Pale home kulikua na picha ukutani za wanyama na picha moja ya ndugu marehemu. Mchungaji akasema baadhi ya mapicha yaondolewe yachomwe moto na pale home tulikua na paka akasema sio mzuri aondolewe akasema zile picha na yule paka wamebeba roho za kishetani zinazosumbua. Kweli bwana baada ya hapo mama akapona kabisa mpk leo hajaacha kusali amekuwa mlokole hasa
 
Nakumbuka kuna filamu ya kizungu niliangalia utotoni kuhusiana na haya mambo ya midoli ilikuwa Inatisha balaa Nikawa nikiona Midoli Naigopa hata Kuitazama, Sasa nilidhani ni Filamu tu Kumbe hii kitu ina Ukweli Flani hivi..
Every myth has foundation in reality hata mazombie yapo muulize mshana atakwambia
 
This is so true. Mama angu alimwa sana ugonjwa usiojulikana yan kila mtu alijua anakufa tulihangaika hospitali lakini wapi akaanza kuwa kama anapagawa na mapepo au anachanganyikiwa hivi. Sasa akaja mchungaji kumuombea aakamuombea sana na badae akafanya maombi nyumba mzima. Pale home kulikua na picha ukutani za wanyama na picha moja ya ndugu marehemu. Mchungaji akasema baadhi ya mapicha yaondolewe yachomwe moto na pale home tulikua na paka akasema sio mzuri aondolewe akasema zile picha na yule paka wamebeba roho za kishetani zinazosumbua. Kweli bwana baada ya hapo mama akapona kabisa mpk leo hajaacha kusali amekuwa mlokole hasa
Hii ya kuweka paka na picha za wanyama wasioeleweka ndio mbaya sn hii km umeweka picha weka picha za wanyama tunaowajua km simba.chui.pundamilia lkn mambo sijui unaweka picha dragon sijui godzilla mara dainasosi aisee ni hatar hv viumbe roho zao badp zipo apa dunian kuiweka picha zao ni kukaribisha roho mm room kwangu picha zote ni za raman au wanyama wanaojulikana
 
Unajua totally ukikiangalia hicho kinyago huhitaji kuwa na macho ya kiroho kugundua kuwa kuna uzima una exists ndani yake..kuna uwezekano mkubwa kuwa ni kweli huwa vinabeba roho.sasa ndio ninapata nafasi tena ya kujifikirisha kuwa je ni kwanini na kwa sababu ipi husababisha vinyago au midoli yenye shape flan flan kuogopesha na kutisha na kuleta hofu vikitazamwa?ukifikiri kwa umakini khs kutisha huku si ajabu ukafikia tamati kuwa kutisha huko kunatoa taarifa pana na ya ndani zaidi kuwa vinabeba roho,roho ya kuogofya.km ingekuwa just ni body structure tu au morphology bila ya hzo roho zilizobebwa bila shaka kuogofya kusingekuwepo
Kuogofya perception ya ubongo km laiti mshana jr asingekwambia km vinabeba roho nakuhakikishia uo mdoli ungeuona km kopo tu sema ushaambiwa vinabeba roho lazima uogope na hapo ndipo inapoumbwa special for you lkn akija ambae hajaambiw habar za midoli atauchezea ataung'oa mpaka kichwa uo mdoli
 
mtoto wangu wa miaka saba anayo hiyo midoli, lakini kuna mdoli mmoja akawa haupendi, kila nilimuuliza kwanini akawa ananiambia eti ule mdoli usiku unazungumza nae, siku nikaenda angalia hiyo movie hapo chini, aisee nimerudi hm mdoli nikaupiga moto huku natetemeka kulipokucha.

Hii movie balaaa Anabelle creation dah hatari sana
 
mtoto wangu wa miaka saba anayo hiyo midoli, lakini kuna mdoli mmoja akawa haupendi, kila nilimuuliza kwanini akawa ananiambia eti ule mdoli usiku unazungumza nae, siku nikaenda angalia hiyo movie hapo chini, aisee nimerudi hm mdoli nikaupiga moto huku natetemeka kulipokucha.


Watoto huwa ni malaika wanaona vitu vingi akikuambia kitu mm kuna mambo niliyapna kipind niko mdogo adi leo najiuliza hv ilikuwa ni kwel au ndoto yaan ilikuwa nikipna giza linqingia tu nakosa kuna mda nalia bila ata sababu wenzangu wakawa wana tabia ikifika ucku wananiletea vitu vya ajabu kunitisha nikawa naangua kilio c cha nch hii ucku nikitundika shat au surual naona linatembea saikolojia yngu iliharibika vibaya kuna siku nilikabwa ucku na jitu nisilolijua lina manyoa nakapiga makelele mungu nisaidie nyumba nzima ikasikia
 
Nakumbuka kuna filamu ya kizungu niliangalia utotoni kuhusiana na haya mambo ya midoli ilikuwa Inatisha balaa Nikawa nikiona Midoli Naigopa hata Kuitazama, Sasa nilidhani ni Filamu tu Kumbe hii kitu ina Ukweli Flani hivi..
Ht mm niliangalia movie inaitwa Annabella yaan sithubutu kuweka midoli yyt kwangu..Na movie ya Mirror mpk leo kioo changu nakifunika na kitenge usiku asubuh naacha wazi..
 
Umeandika ukweli kwani Kuna ndugu yangu mmoja alikuwa anafanya kazi sehem flani. Ndani ya iyo nyumba Kuna ka mdoli kadogo tu ambacho ata mtoto wa miaka sita anakabeba.

Anaasema mwenyewe alikuwa anamuona boss amekitenga na kukizungushia maua aambapo kila asubuhi akiamka lazma akakapigie magoti.

One day sijui ilikuwaje akachomoa ka maua duh ile anatoka anarudi anakuta Bomba la jitu limesimama likiwa na sura ya ule mdori linahasira na kufanya vurugu ndani. Nisiende mbali anasema tokea aondoke siku iyo ppale hakuwahi kurudi nyuma.


Midoli na vyengine mfano wa midoli si mizuri kabisa
 
Ni kweli kabisaaa.Na sio tu midoli pia katuni , picha za ngono na movie za kutisha zina mapepo .

ningewawekea video za watu wakifanyiwa deliverance kwa roho chafuu zilizo waingia kutokana na hayo niliyoyataja hapo juu, ila sijuagi kuweka video hapa.
Sikia ww acha ushamba mm kila j mos lazima nichek horrow movie moja hatar hasa ucku huwa zinaleta stimu fulan hv shetan huwa anasoma akili zako akikuona muoga sidhan km utalala ila akikuona hutilii maanani na unajiamin huwa anaishiwa shetan wachaw huwa wanapenda watu waoga
 
Tulivyokuwa wadogo tukitengeneza midoli ya udongo tulikuwa tunaweka kijiti ktkt ya kichwa, tunasema isije ikadai roho.Ilikuwa kawaida sana kule kwetu.
 
NIONGEZE POINT; MAMBO YA KIROHO AU YA KIMUNGU HAPA DUNIANI YANAENENDA KATIKA PLINCIPLE KUU MBILI 1. Kuwa katika usiri au uficho fulani. hii imewekwa kutokana na upeo wa akili ya binadamu. yakiwekwa wazi binadamu akijua yote atachananyikiwa bali NI MPAKA UPATE UVUVIO WA ROHO WAKE PALE ANAPOTAKA KUKUONYESHA KITU. Shetani kaiga na yeye yake anayaficha mfano mambo ya akina freemason.2. Kutumia maumbo. roho haina umbo lakini ikiamuliwa yaweza ishi ktk umbo lolote likapata uhai. mfano binadamu. shetani nae kaeiga anatumia vitu kama vinyago. (sorry natumia phone siwezi kumwaga sana) ila kumalizia hila za rusifa ni kuwahadaa binadamu mpaka kujikuta wanamkufuru MUNGU BILA WAO KUJIJUA. Ntakupa mfano japo wapo wale watakaopinga. rozali ni kinyago au mdoli kama mingine. hicho kinyago kilichopo kwenye msalaba wa rozari SIO YESU NA WALA HAKIFANANI NA YESU lakini wakatoriki wanavyokiabudu tena wamekitundika kwenye makanisa yao DAA.... KINGINE NI CHA BIKIRA MARia. nani kawaambia mkipigie magoti. WAPI KATIKA BIBLE. hapo shetani kawapiga bao mana mnamkufuru mungu bila kujijua
Big up !! Kula lunch popote ulipo naja kulipia mm kuna mda nilijitia brothernen nilikuwa navaa chen ya msalaba kuna siku nikawaza nikaja gundua sio sawa hata kidogo
 
NDIO MAANA.

Aliyewaumba amewatahadharisha, MSICHONGE SANAMAMU INAYOFANANA NA KITU CHOCHOTE HALAFU MKAITUMIKIA NA KUISUJUDIA.
Unakuta ndani na nje ya Kanisa kuna Sanamu nyingi kila kona hadi nje.
Wajamani wajameni mnamjua aliyezichonga hizo sanamu zote kama ni mtu wa aina gani ?
Mimi ni hapo tu ninapotofautiana na kanisa langu la Roman Catholiki na lazima niwe mkweli.
Sanamu zimenikwaza na siwezi kusujudu ili hali mbele kuna Rundo la Masanamu.
Nadhani watabadilika hapo baadae.
Karibu Sanamu zote zina roho chafu.
Kwa wale wataalamu wa VILINGE kama mleta mada, Shetani anawaelekeza sanamu za kuweka madhabahuni, anawaelekeza hadi Sura za sanamu hizo, na alama za kuweka.
Ukimwuliza mtumishi huyo wa mambo ya giza anakuelekeza kila sanamu kwa jina lake.
Utasikia huyu ni Belzebuli, huyu ni Lusifer, huyu ni mzimu wa makaburini, huyu ni malkia wa marine (marine spirit) nk.
Anawaita kama watu hai na chakula anawapa cha kufukiza kwenye chetezo, na damu.

Ni mambo makubwa wandugu wapendwa, nina mengi ya kuwaeleza.

Achaneni kabisa na Sanamu, au Midoli au chochote kinachofanana na hivyo.

MUACHE PIA KUCHORA TATOO, MWILINI
NI ALAMA (Chapa) ZA SHETANI. Mungu pia amezikataza.

ASANTE SANA mshana jr, Leo umefanya kazi kubwa ya Uinjirishaji.

Nimeeleza hivyo kwa sababu ya mapenzi yangu ya dhati kwenu na jamaa zenu muwaeleze pia.

Mwenye masikio na amesikia.
Hama tu kanisa njoo luthelan hao katoliki hawatobadilika kamwe mpaka yesu sanamu za bikra Maria ndio usiseme katungiwa mpaka sala special kwake mm nikiwa mdogo nimesoma shule za kimisionar tumesali sn hz sala na saiz sitak hata kuisikia
 
si hivyo tu,hata haya mapicha tunayobandika ukutani katika nyumba zetu sio mazuri,nilikuwa na shemeji yangu anasumbuliwa na majini kila masheikh wakija kumwombea anapona wakiondoka tu yanarudi,kuna siku akaja sheikh mmoja kumsomea dua alivyoona sebule imejaa mapicha akaomba picha zote ziondolewe kwanza,zilipoondolewa zile picha,akaanza kusoma dua yale majini yakaanza kulalamika kuwa yameondolewa maficho yao
Shuhuda km hz ndio tunazitaka toa story hao washikaji walikuwa wanasemaje mnhewapa ata gwara basi yaan mmewafukuza kiroho mbaya ivyo
 
Back
Top Bottom