Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu malkia ndio yule nasikia alikuwa mzur hatar alijua kwa kumuweka nyoka kifuan mwakeImekaa kama malkia Cleopatra
true bali sio zote, yaani sio kila picha inabeba majini!, picha nyingine kama zile za Leonardo Da Vinci, Madonna, Mona Lisa, The Last Super, etc, zile original zimebeba some codes "Da Vinci Codes", hivyo zina thamani kubwa sana!.Hata picha za ukutani zile artistic hubeba majini.
Dah nyumba ya mauza uza namna hio ngumu kwa mimi kuishi.true bali sio zote, yaani sio kila picha inabeba majini!, picha nyingine kama zile za Leonardo Da Vinci, Madonna, Mona Lisa, The Last Super, etc, zile original zimebeba some codes "Da Vinci Codes", hivyo zina thamani kubwa sana!.
Hata picha tuu portraits za familia, baadhi zinabeba spirits za wenye picha hizo, kaka yangu mkubwa alimpenda sana mkewe, baada ya ndoa waliishi just a year, during delivery, mke alifariki. Ana ghorofa Mbezi Beach Makonde, akasafisha picha nyingi za mkewe kwa size kubwa ya A1 na kuzi hang kila ukuta.
Mtu wa kwanza kulalamika kuwa usiku huwa anakabwa ni demu wake. Nilimshauri bro amejaza sana picha za marehemu mkewe na kule kuzisafisha kwa A1, ni tuu big, zinatisha!, it's as if anaishi na marehemu!. Kila akipata girlfriend baada ya muda, wanaachana!, kisa picha!.
ilifika mahali jamaa aliikimbia kabisa nyumba yake ikabaki kama gofu!.
Mimi kwa upande wangu, niliamua kuwa na English family ya just 2 kids hivyo nilijenga kakibanda kadogo ka 3 rooms. Tukahama nchi kuishi Ughaibuni kwa miaka kadhaa, kule nikawaacha wife na family mimi nikarudi kuishi Bongo. Kumbe long distance relationships doesn't work kwa baadhi ya makabila!. Hivyo katika haya na yale mara goli!. Wife akasikia, akagoma kurudi, hivyo nikavuta kitu ndani!. Kufunga kufungua goli la pili!. Wife ili kunikomesha, akanisusia watoto, mara goli la 3!. Kakibanda ka room 3 kwa watoto 5 kakawa hakatoshi. Ndipo nikamuomba bro nihamie kwenye ghorofa lake ili kufanya extension huku kwangu, akakubali.
Hivyo mimi na familia of 5 tukahamia kwa bro kwenye lile ghorofa la mapicha. Hatua ya kwanza ni mama dogo, akashauri tubandue mapicha yote ya sitting na dining, tukabakiza kwe ngazi na upstairs.
Sisi tulitumia guest wing kama ndio masters bedroom yetu, iko chini. Juu walitumia watoto wa kiume, kike na dada. Masters bedroom yao was locked na untouched.
Kazi ikaanza kwa binti yetu mdogo, anamwambia dada kuwa kuna siku usiku, anasikia kama kuna mtu anatembea tembea kule kwenye masters bedroom ambayo iko locked!.
Dada akatuambia, tukapuuza. Baada ya muda, binti akaanza kusema kuwa usiku anasikia sauti za mtoto mdogo analia, alipotoka kwenye corridor ya juu, kwa chini alimuona mwanamke amevaa nguo nyeupe amebeba mtoto anambembeleza huku mwanamke pia analia!. Huyu mwanamke alipogeuka tuu na kuona ameonekana, ali vanishes into thin air!.
Nilipoambiwa kama kawaida yangu, nilibisha!.
Ikaja zamu ya watoto wa kiume kusema usiku kwenye paa, wanasikia kama kuna watu wanatembea na sometimes wanagombana wanasikia tuu vishindo.
Nikasema itakuwa ni paka anafukuza panya...
hadi one day vishindo vya juu vilisikoka hadi chini kwa mlio mkubwa wa kuvunjika mbao kama kitu kizito kimeanguka, nikapanda juu kuangalia, nikakuta ni kweli sealing board ya toilet ya juu imebomoka kama kuna kitu kizito kiliangukia kikabomoa na kushuka nayo, lakini hapo chini there was nothing!. Uzito wa paka kufukuza panya, hauwezi kubomoa sealing board hadi kushuka nayo!.
Baada ya hapo vikaanza visa na mikasa, mara vitu vinapote, mara akaja dada mpya wa kazi akapandisha mashetani, mara...mara..
tukamtaarifu bro tukahama!
Kwa sasa bro amerudi kwenye nyumba yake ana girl friend wa Tanga, zile picha kaondoa, nyumba inakalika ila mpaka leo its close to 20 years na mpaka sasa hajaoa tena!.
P
Dah nyumba ya mauza uza namna hio ngumu kwa mimi kuishi.
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...
Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.
Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.
Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....
Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Haunted house...Dah nilikuwa nasoma kwa kusisimka sana...pole sana Pascaltrue bali sio zote, yaani sio kila picha inabeba majini!, picha nyingine kama zile za Leonardo Da Vinci, Madonna, Mona Lisa, The Last Super, etc, zile original zimebeba some codes "Da Vinci Codes", hivyo zina thamani kubwa sana!.
Hata picha tuu portraits za familia, baadhi zinabeba spirits za wenye picha hizo, kaka yangu mkubwa alimpenda sana mkewe, baada ya ndoa waliishi just a year, during delivery, mke alifariki. Ana ghorofa Mbezi Beach Makonde, akasafisha picha nyingi za mkewe kwa size kubwa ya A1 na kuzi hang kila ukuta.
Mtu wa kwanza kulalamika kuwa usiku huwa anakabwa ni demu wake. Nilimshauri bro amejaza sana picha za marehemu mkewe na kule kuzisafisha kwa A1, ni tuu big, zinatisha!, it's as if anaishi na marehemu!. Kila akipata girlfriend baada ya muda, wanaachana!, kisa picha!.
ilifika mahali jamaa aliikimbia kabisa nyumba yake ikabaki kama gofu!.
Mimi kwa upande wangu, niliamua kuwa na English family ya just 2 kids hivyo nilijenga kakibanda kadogo ka 3 rooms. Tukahama nchi kuishi Ughaibuni kwa miaka kadhaa, kule nikawaacha wife na family mimi nikarudi kuishi Bongo. Kumbe long distance relationships doesn't work kwa baadhi ya makabila!. Hivyo katika haya na yale mara goli!. Wife akasikia, akagoma kurudi, hivyo nikavuta kitu ndani!. Kufunga kufungua goli la pili!. Wife ili kunikomesha, akanisusia watoto, mara goli la 3!. Kakibanda ka room 3 kwa watoto 5 kakawa hakatoshi. Ndipo nikamuomba bro nihamie kwenye ghorofa lake ili kufanya extension huku kwangu, akakubali.
Hivyo mimi na familia of 5 tukahamia kwa bro kwenye lile ghorofa la mapicha. Hatua ya kwanza ni mama dogo, akashauri tubandue mapicha yote ya sitting na dining, tukabakiza kwe ngazi na upstairs.
Sisi tulitumia guest wing kama ndio masters bedroom yetu, iko chini. Juu walitumia watoto wa kiume, kike na dada. Masters bedroom yao was locked na untouched.
Kazi ikaanza kwa binti yetu mdogo, anamwambia dada kuwa kuna siku usiku, anasikia kama kuna mtu anatembea tembea kule kwenye masters bedroom ambayo iko locked!.
Dada akatuambia, tukapuuza. Baada ya muda, binti akaanza kusema kuwa usiku anasikia sauti za mtoto mdogo analia, alipotoka kwenye corridor ya juu, kwa chini alimuona mwanamke amevaa nguo nyeupe amebeba mtoto anambembeleza huku mwanamke pia analia!. Huyu mwanamke alipogeuka tuu na kuona ameonekana, ali vanishes into thin air!.
Nilipoambiwa kama kawaida yangu, nilibisha!.
Ikaja zamu ya watoto wa kiume kusema usiku kwenye paa, wanasikia kama kuna watu wanatembea na sometimes wanagombana wanasikia tuu vishindo.
Nikasema itakuwa ni paka anafukuza panya...
hadi one day vishindo vya juu vilisikoka hadi chini kwa mlio mkubwa wa kuvunjika mbao kama kitu kizito kimeanguka, nikapanda juu kuangalia, nikakuta ni kweli sealing board ya toilet ya juu imebomoka kama kuna kitu kizito kiliangukia kikabomoa na kushuka nayo, lakini hapo chini there was nothing!. Uzito wa paka kufukuza panya, hauwezi kubomoa sealing board hadi kushuka nayo!.
Baada ya hapo vikaanza visa na mikasa, mara vitu vinapote, mara akaja dada mpya wa kazi akapandisha mashetani, mara...mara..
tukamtaarifu bro tukahama!
Kwa sasa bro amerudi kwenye nyumba yake ana girl friend wa Tanga, zile picha kaondoa, nyumba inakalika ila mpaka leo its close to 20 years na mpaka sasa hajaoa tena!.
P
Dah nyumba ya mauza uza namna hio ngumu kwa mimi kuishi.
Hizo nyumba zina changamoto mno...na mara nyingi mno hayo mauzauza hutokea usiku..kama wangefunga CCTV cameras wangeona vitu vya kutisha zaidiPaschal ana roho ngumu dah!
hivi CCTV huonesha yale madude live?Hizo nyumba zina changamoto mno...na mara nyingi mno hayo mauzauza hutokea usiku..kama wangefunga CCTV cameras wangeona vitu vya kutisha zaidi
Dah! Uzi wako ungenoga sana kama ungelitoa walau visa vichache kati ya hivo vingi ili kuupa uhai uzi wako.wazazi wengi tunapenda kuwa nunulia watoto midori ya ya kucheza mara nyingi inapatikana kwenye masoko ya mitumba.
huko ilipotoka imebeba mambo mengi na inaweza kuwa imetumika kichawi kabisa.
kuna visa vingi japo vinapuuziwa kuhusu haya mamidori ila inawezekana vikawa kweli.
Chucky doll wa movie😜Dah! Uzi wako ungenoga sana kama ungelitoa walau visa vichache kati ya hivo vingi ili kuupa uhai uzi wako.