Uchawi upo duniani nzima sema afrika unaonekana zaidi kwa sababu waafrika wanafanya uchawi duni uchawi wa kimasikini black magic kumroga jirani yako kisa anakula nyama,au watoto wake wasisome.
Wazungu wanafanya white magic, uchawi baridi.Hata kwenye mambo ya intelligence au technology wanatumia Sana uchawi.
Achana na uchawi wa wivu wa maendeleo wa kiafrica huu ni duni sana kwa level za uchawi.
Wayahudi ndio wanaongoza kwa uchawi duniani na elimu nyingi sana za uchawi zimeanzia kwao kutokea middle east