Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...

Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!

Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.

Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.

Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....

Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Hata vinyago vya pale Mwenge?
 
Nlihadithiwa kuna mwanamke anapenda mdoli wake sasa alipoolewa akauchukua kwake basi kila wakirudi kazini yeye na mumewe wanakuta pamepikwa panasafishwa na vyombo vimeoshwa akawa anawauliza nduguze kama wao ndio wanakuja kufanya hivyo kumbe ule mdoli shetani ndio amefanya nyumba yake na ndio unafanya pirika zote
Sasa hapo si ni faida hamna haja ya kuwa na house girl

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
.
 
Attachments

  • 20221225_230807.jpg
    20221225_230807.jpg
    110.6 KB · Views: 8
Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...

Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!

Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.

Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.

Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....

Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Hivi haya mambo yapo duniani kote, mfano USA au ni Tz tu?
 
Umenikumbusha nliwahi sikia story ya mwanamke kwa mchungaji fln hv uganda. Yule mwanamke alikua hazai na kila akiamka kama kalala peke yake basi anakuta katiwa kabisa na mabaki ya ute anayaona.

Kahangaika sana kumbe shida kpnd mme wake hayupo alikua ana li-mdoli fln hv anakumbatia usiku ndo analala, ikaja gundulika lile dude ndo lilikua linamtia usiku, na hio ni baada ya wainjilisti wa yule mchungaji kumtembelea ndo wakasense nguvu kubwa sana zisizoeleweka mule ndani. Muinjilist wa kike kuingia chumban kwa huyo mama ndo akashauri lile limdoli lichomwe moto kanisani. Ikawa pona ya huyo mama

Hata kinyago cha charlie charlie ni mambo hayahaya
 
.
 
Attachments

  • _ (35).jpeg
    _ (35).jpeg
    49.6 KB · Views: 11

JE UNAJUA KUWA MIDOLI UNAYOIJAZA NYUMBANI KWAKO INA MAJINI NDANI YAKE?​

Natumai uko salama ndugu msomaji na leo nataka nikujuze kuhusu midoli ambayo wengi huipenda kuwanunulia watoto wao,au kuijaza ndani kama mapambo

kwanza kabisa ndiyo maana hata mjumbe wa Mwneyez Mungu Mtume Muhammad s.a.w alikataza watu wasiweke midoli majumbani mwao pana hekima kubwa sana hapa isiyojulikana'

Mapepo/majini wao ni roho ambazo zinaweza kujigeuza na kuingia kwenye mwili wowote wanaoupenda na ndyo maana binadamu wengi pia huingiwa na majini hao,sasa miongoni mwa vitu ambayo majini hupenda kuingia kwenye maumbo hayo ni midoli, mapepo hupenda kukaa ndani ya misanamu na kufanya huo kama mwili na makazi yake.

ukitaka kuamini haya ninayoyasema kwa kujionea mweneyewe kwa macho yako fanya hivi

uwe unachukua mdoli wako na uwe unaliambia maneno haya huku unalitazama kwenye macho yake kwa siku41 mfululizo utaona maajabu makubwa sana na usije ukashangaa unaihama nyumba kwa hofu.

sema maneno haya ''wewe blodmeli nibadilishie kinyago hiki''

ONYO
KAMA NI MUOGA,UNA MAGONJWA KM PRESHA,WASIWASI,NK USIJARIBU

Uislam ulikwishazungumza hili jambo miaka maelfu iliyopita,wewe ndio wagundua leo
mambo ya midoli,masanamu,mapichapicha Ni kazi ya shetani
 
Back
Top Bottom