Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

wazazi wengi tunapenda kuwa nunulia watoto midori ya ya kucheza mara nyingi inapatikana kwenye masoko ya mitumba.

huko ilipotoka imebeba mambo mengi na inaweza kuwa imetumika kichawi kabisa.

kuna visa vingi japo vinapuuziwa kuhusu haya mamidori ila inawezekana vikawa kweli.
Nguo unazovaa za mtumba zisiwe na nguvu za giza ila midori ndio iwe na hizo nguvu? Tafuta hela wewe achana na mawazo ya kimaskini.
 
Sio hiyo tu.

Nguo, viatu na mikanda vinakuja na mikosi ya watu.

Its better mtu ukanunua mpya.
 
wazazi wengi tunapenda kuwa nunulia watoto midori ya ya kucheza mara nyingi inapatikana kwenye masoko ya mitumba.

huko ilipotoka imebeba mambo mengi na inaweza kuwa imetumika kichawi kabisa.

kuna visa vingi japo vinapuuziwa kuhusu haya mamidori ila inawezekana vikawa kweli.
Sasa si uelezee inakuaje!! We unawaambia watu midori ina mapepo lakini hauelezei nini umeona na imekuthibitishiaje kua midori ina nguvu za giza ili pia tuamini hilo
 
Sio hiyo tu.

Nguo, viatu na mikanda vinakuja na mikosi ya watu.

Its better mtu ukanunua mpya.
Binamu Yamamoto..nasisi tunaovaa mawigi Yale human hair inakuaje?
 
Sio hiyo tu.

Nguo, viatu na mikanda vinakuja na mikosi ya watu.

Its better mtu ukanunua mpya.
Fanyeni kazi acheni.visingizio. Mitumba Ipo na itaendelea kuwepo ili Yule asiyeweza kipya apate cha kumsitiri. Maisha ni mizania inayobalance kwa kila mtu.
 
Binamu Yamamoto..nasisi tunaovaa mawigi Yale human hair inakuaje?
Tena hayo yamejaa mapepo hatari.

Bakia tu na nywele zako.

Wanawake mbona mnapendeza sana tu mkibakia natural??

Piga low cut.

Paka mafuta yako na 💄 kidogo.

Vaa nadhifu kuwa na heshima. Inatosha.

Mwanamke mwenye heshima yupo sexy zaidi kuliko mwingine yeyote anayevaa wigi la milioni 5.
 
Ukiamini mungu utaishi misha magumu sana hapa duniani, yaliyojaa hofu na utumwa mkubwa
 
Mtu mjinga ambaye maisha yake yote uametawaliwa na iman za kishirikina kitu kwake kitakuwa ivyo stupid
 
Hii mada mbona inatisha sana
Halloween Witch Art Doll
20221210_113646.jpg
20221210_113653.jpg
 
Uchawi upo duniani nzima sema afrika unaonekana zaidi kwa sababu waafrika wanafanya uchawi duni uchawi wa kimasikini black magic kumroga jirani yako kisa anakula nyama,au watoto wake wasisome.
Wazungu wanafanya white magic, uchawi baridi.Hata kwenye mambo ya intelligence au technology wanatumia Sana uchawi.
Achana na uchawi wa wivu wa maendeleo wa kiafrica huu ni duni sana kwa level za uchawi.
Wayahudi ndio wanaongoza kwa uchawi duniani na elimu nyingi sana za uchawi zimeanzia kwao kutokea middle east
Wayahudi ndio wanaongoza kwa uchawi duniani na elimu nyingi sana za uchawi zimeanzia kwao kutokea middle east[emoji818][emoji1752]
20221210_113603.jpg
 
Back
Top Bottom