Vinyago/midoli vina roho

Vinyago/midoli vina roho

Ni kweli kabisaaa.Na sio tu midoli pia katuni , picha za ngono na movie za kutisha zina mapepo .

ningewawekea video za watu wakifanyiwa deliverance kwa roho chafuu zilizo waingia kutokana na hayo niliyoyataja hapo juu, ila sijuagi kuweka video hapa.

Wasiliana na mods uitume kwa WhatsApp halafu watafanya mambo
 
Hapana, yeye ndiyo alitungiwa WIMBO kuwa ni kama sanamu la Micheleni.... Gauni akivaa anazi-Screw....

khadija_kopa1.jpg

Oooh kumbe ee
 
Nishawahi sikia hili,
Mnakumbuka yule mwanasiasa wa Kenya aliyeingiza kontena la
vinyago na vikaragozi vya ajabu ajabu na kontena kukamatwa bandari ya Mombasa
Inasemekana vina kazi yake vile
 
Ni kweli kabisaaa.Na sio tu midoli pia katuni , picha za ngono na movie za kutisha zina mapepo .

ningewawekea video za watu wakifanyiwa deliverance kwa roho chafuu zilizo waingia kutokana na hayo niliyoyataja hapo juu, ila sijuagi kuweka video hapa.

kumbe ndio maana watu wanaoingia sana lile Jukwaa la Wakubwa wapo kama wana pepo kwasababu ya yale mapicha na mavideo ya uchi
 
mtoto wangu wa miaka saba anayo hiyo midoli, lakini kuna mdoli mmoja akawa haupendi, kila nilimuuliza kwanini akawa ananiambia eti ule mdoli usiku unazungumza nae, siku nikaenda angalia hiyo movie hapo chini, aisee nimerudi hm mdoli nikaupiga moto huku natetemeka kulipokucha.

https://www.youtube.com/watch?v=Mh_5zY42zJw

Vitu vingine vinatisha sana! unaweza ukawa umelala na mtoto mdogo kitandani halafu mdoli umeuweka pembeni usiku unashangaa mtoto analia hadi unamtoa nje kumwingiza ndani mtoto mdogo huyo hata hajui kuongea vizuri ukimwambia unalia nin anakwambia kule na ukitaka kumlalisha kitandani kwa nguvu anakataa kimbe ni hii mikitu du! hatari sana mshana jr umenifumbua mambo sana!
 
Last edited by a moderator:
kumbe ndio maana watu wanaoingia sana lile Jukwaa la Wakubwa wapo kama wana pepo kwasababu ya yale mapicha na mavideo ya uchi

Ma picha ya ngono sio nzuri kabisa hata kama hukua mzinzi zinakufanyia addiction na kama hukuwa mzinzi unaanza hyo tabia. Mana zina uvuvio wa roho ya ngono.
Kuingia jukwaa la wakubwa haimaanishi mtu una pepo ni hapana.
 
Pole.
Hapa nyumbani tuna mdoli mkubwa wa Bear, yaani huwa nashangaa nikiuangalia tu nakosa amani kabisa.
Huwa najiukizaga mpaka leo...sijui una nini.

Jichunguze, Je mambo yako yanaenda sawa? Je kuanzia uanze kuishi na hilo doli unayaonaje maisha yako ya ndani kabisa ya kiroho? Je hujihisi mikosi, mabalaa na Bahati mbaya kukuandama? mshana jr Asante Sana kwa Uzi wako huu. Nakukubali Sana aisee
 
Last edited by a moderator:
Hata zile katuni wanazoangalia watoto, Boomerang, Disney na zinginezo zimejaa mapepo, kwa macho ya watu Wazima tunaona ni katuni za kawaida, ila watoto wanaona ni vimtu vipo uchi wa mnyama, zjnaharibu sana watoto zile!
 
Ma picha ya ngono sio nzuri kabisa hata kama hukua mzinzi zinakufanyia addiction na kama hukuwa mzinzi unaanza hyo tabia. Mana zina uvuvio wa roho ya ngono.
Kuingia jukwaa la wakubwa haimaanishi mtu una pepo ni hapana.

Picha za ngono zina mfanya mtu apate spirt of lesibian na spirit of masterbation na ni roho ng'ang'anizi mnoo ,
 
Kuna huu mdori umecheza film unaitwa CHUCKY, unaukumbuka?

mqdefault.jpg

Sasa kuna mwingine amefahamika anaitwa Black Chucky.... Anabamiza watoto si kawaida.

hii muv tam kinoma;chucky anabandua hatare na kuua shida tup;uliitengenezwa na padre akauombea xx akafa akauach ukawa unaleta mabalaa
 
Last edited by a moderator:
Aisee mshana jr unajua mada zako huwa lazima nisome..........sasa unapokuja na beats za kunitisha namna hii........toka juzi nakuangalia tu nanyamaza...........tafadhali bana...........

Kuna kanisa moja niliwah kusali mchungaj alituagiza waumin wenye midoli na kadi zile za wishes like Xmas cards or birthday cards tuzipeleke kanisani na zilichomwa zote ,pastor alisema tunahifadh roho wachafu nyumban wanaokaa kwenye midol na hizo cards

Kweli kazi ipo😉😉

Mi niliambiwa midoli vinyago si mizuri kuweka ndani nikawaga siamini mana nilikua naipenda kuiweka sebuleni. Sasa siku moja nikiwa nimelala nimeiweka pembeni nikaona mdoli una nyanyuka na kunirukia nilipiga makelele ya hatari na kutetemeka juu. Tangia siku hyo nimekoma hata kuibeba. Kweli vinyango ni ma spirits machafu kabisa na inaweza ikawa inaleta mikosi.

Mshana jiheshimu..nimepoteza usingzi wangu wote ....duuuh uwe unaangaliaga na picha za kuleta basi mweh mweh

Sasa hebu niambie........nina kinyago cha tembo wa mpingo.........nae anahusika...........?...........

Mi nna teddy bear kitandani sijui nimfiche

Hivi vitu tunaona vya kawaida ila ni hatari tena hivo vya kimakonde kila kinyago kilicho chongwa kina maana yake sasa wengi hawajui wanaona mapambo tu.
Mi niliambiwa nikawa mbishi siku yaliyo nikuta ndo nilikoma.Mingi ya vinyago ni sehemu ya idol worship.

Mkuu umenena kweli kabisa mimi ni mmoja wa waliopata shida kupitia midoli nimekoma na sirudii kuiweka kwangu wala kuinunua

Naiogopa yote na vinyago vya kuchonga staki hata kukibeba kabisa.

Pole.
Hapa nyumbani tuna mdoli mkubwa wa Bear, yaani huwa nashangaa nikiuangalia tu nakosa amani kabisa.
Huwa najiukizaga mpaka leo...sijui una nini.

Duh najuta kutazama hii, sijui kama usingizi utakuja leo

Tobaaa! Umeanzaaaa????....frankly speaking huyu kaka namuogopa kuliko hata zombie!

Picha za ngono zina mfanya mtu apate spirt of lesibian na spirit of masterbation na ni roho ng'ang'anizi mnoo ,

Popote ulipo mshana jr, unashtakiwa kwa kosa la kusababisha hawa mabinti washindwe kuvipumzisha vikojoleo vyao kwa usiku wa leo.

Jiwasilishe makaburi ya kinondoni kwa ajili ya toba. (tafazali, sijasema mochware, staki hawa mabinti washindwe kuamka)

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
 
babu hulali weye
 
Hauko pekee yako Preta nyuzi za mshana jr siku hizi kama ni muoga usizifungue usiku unaweza kushindwa kulala ukabaki unang'aa macho usiku kucha.

Aisee mshana jr unajua mada zako huwa lazima nisome..........sasa unapokuja na beats za kunitisha namna hii........toka juzi nakuangalia tu nanyamaza...........tafadhali bana...........
 
Last edited by a moderator:
Unachosema ni kweli kabisa hichi kitu nilishasikia mda sana. Pia kuna movie flani nilipoiona ndo nilizidi kuamini inaitwa Curse Of Chucky (2013) hii movie inatisha sana inahusu hyo issue.

acha ni download leo
 
Back
Top Bottom