Ni kweli kabisaaa.Na sio tu midoli pia katuni , picha za ngono na movie za kutisha zina mapepo .
ningewawekea video za watu wakifanyiwa deliverance kwa roho chafuu zilizo waingia kutokana na hayo niliyoyataja hapo juu, ila sijuagi kuweka video hapa.
Hapana, yeye ndiyo alitungiwa WIMBO kuwa ni kama sanamu la Micheleni.... Gauni akivaa anazi-Screw....
Ni kweli kabisaaa.Na sio tu midoli pia katuni , picha za ngono na movie za kutisha zina mapepo .
ningewawekea video za watu wakifanyiwa deliverance kwa roho chafuu zilizo waingia kutokana na hayo niliyoyataja hapo juu, ila sijuagi kuweka video hapa.
mtoto wangu wa miaka saba anayo hiyo midoli, lakini kuna mdoli mmoja akawa haupendi, kila nilimuuliza kwanini akawa ananiambia eti ule mdoli usiku unazungumza nae, siku nikaenda angalia hiyo movie hapo chini, aisee nimerudi hm mdoli nikaupiga moto huku natetemeka kulipokucha.
https://www.youtube.com/watch?v=Mh_5zY42zJw
kumbe ndio maana watu wanaoingia sana lile Jukwaa la Wakubwa wapo kama wana pepo kwasababu ya yale mapicha na mavideo ya uchi
Pole.
Hapa nyumbani tuna mdoli mkubwa wa Bear, yaani huwa nashangaa nikiuangalia tu nakosa amani kabisa.
Huwa najiukizaga mpaka leo...sijui una nini.
Ma picha ya ngono sio nzuri kabisa hata kama hukua mzinzi zinakufanyia addiction na kama hukuwa mzinzi unaanza hyo tabia. Mana zina uvuvio wa roho ya ngono.
Kuingia jukwaa la wakubwa haimaanishi mtu una pepo ni hapana.
Kuna huu mdori umecheza film unaitwa CHUCKY, unaukumbuka?
Sasa kuna mwingine amefahamika anaitwa Black Chucky.... Anabamiza watoto si kawaida.
Aisee mshana jr unajua mada zako huwa lazima nisome..........sasa unapokuja na beats za kunitisha namna hii........toka juzi nakuangalia tu nanyamaza...........tafadhali bana...........
Kuna kanisa moja niliwah kusali mchungaj alituagiza waumin wenye midoli na kadi zile za wishes like Xmas cards or birthday cards tuzipeleke kanisani na zilichomwa zote ,pastor alisema tunahifadh roho wachafu nyumban wanaokaa kwenye midol na hizo cards
Kweli kazi ipoππ
Mi niliambiwa midoli vinyago si mizuri kuweka ndani nikawaga siamini mana nilikua naipenda kuiweka sebuleni. Sasa siku moja nikiwa nimelala nimeiweka pembeni nikaona mdoli una nyanyuka na kunirukia nilipiga makelele ya hatari na kutetemeka juu. Tangia siku hyo nimekoma hata kuibeba. Kweli vinyango ni ma spirits machafu kabisa na inaweza ikawa inaleta mikosi.
Mshana jiheshimu..nimepoteza usingzi wangu wote ....duuuh uwe unaangaliaga na picha za kuleta basi mweh mweh
Sasa hebu niambie........nina kinyago cha tembo wa mpingo.........nae anahusika...........?...........
Mi nna teddy bear kitandani sijui nimfiche
Hivi vitu tunaona vya kawaida ila ni hatari tena hivo vya kimakonde kila kinyago kilicho chongwa kina maana yake sasa wengi hawajui wanaona mapambo tu.
Mi niliambiwa nikawa mbishi siku yaliyo nikuta ndo nilikoma.Mingi ya vinyago ni sehemu ya idol worship.
Mkuu umenena kweli kabisa mimi ni mmoja wa waliopata shida kupitia midoli nimekoma na sirudii kuiweka kwangu wala kuinunua
Naiogopa yote na vinyago vya kuchonga staki hata kukibeba kabisa.
Pole.
Hapa nyumbani tuna mdoli mkubwa wa Bear, yaani huwa nashangaa nikiuangalia tu nakosa amani kabisa.
Huwa najiukizaga mpaka leo...sijui una nini.
Duh najuta kutazama hii, sijui kama usingizi utakuja leo
Tobaaa! Umeanzaaaa????....frankly speaking huyu kaka namuogopa kuliko hata zombie!
Picha za ngono zina mfanya mtu apate spirt of lesibian na spirit of masterbation na ni roho ng'ang'anizi mnoo ,
Popote ulipo mshana jr, unashtakiwa kwa kosa la kusababisha hawa mabinti washindwe kuvipumzisha vikojoleo vyao kwa usiku wa leo.
Jiwasilishe makaburi ya kinondoni kwa ajili ya toba. (tafazali, sijasema mochware, staki hawa mabinti washindwe kuamka)
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Aisee mshana jr unajua mada zako huwa lazima nisome..........sasa unapokuja na beats za kunitisha namna hii........toka juzi nakuangalia tu nanyamaza...........tafadhali bana...........
Mi nna teddy bear kitandani sijui nimfiche
Mfiche haraka sana kabla hajakukaba usiku na kisha kukubaka ππ
Unachosema ni kweli kabisa hichi kitu nilishasikia mda sana. Pia kuna movie flani nilipoiona ndo nilizidi kuamini inaitwa Curse Of Chucky (2013) hii movie inatisha sana inahusu hyo issue.