Mimi kabla ya kununua kitu lazima nimhusishe Roho Mtakatifu. Huwa siendi kichwa kichwa.
Hayo madude ya Kichina na Nigeria mengi yanaletwa ili yawaingize watu Mashehetwain. Ndio maana Bongo uchawi umekuwa kama Ibada. Watu kumroga mtu imekuwa sifa.
Watu kutafuta uganga ili kupata fedha imekuwa sifa. Tena na JF ipo Mstari wa mbele kutetea Wachawi kuliko kumhubiri Mungu.
Tena na JF ipo mstari wa mbele kumtukana Mungu kuliko kumfundisha Mungu. Wewe weka thread ya kumfudisha Mungu, utaona inafichwa lakini anza kumtukana Mungu, walah , thread yako itapewa wadhifa wa Intelligence. Halafu mnashangaa kwanini Bongo ni Maskini huku mpo hapa mkimtetea Shetani wazi wazi.
Tena na JF wanaruhusu kufundisha uchawi na kuupa sifa kede kede, lakini ukisema ukweli kuhusu Shetani lazima thread yako au post yako itafutwa.
Nyie Tanzania mtaendelea kuwa Maskini wakutupwa mpaka mtakapo mrudia Mungu. Nasema tena Umaskini wa Tanzania hautotoka hata aje Obama kuwa Raisi wenu. Nyie Uchawi umekuwa kama ibada na kabila la Kitanzania.
Natanguliza pole kwa wafuga Majini, Mashehetwain na jamaa wa ile deen ya Mnyaazi Mungu.