Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Khaaa.
Hio ya kama mtu anochinjwa nliwahi kutumiwa kink yake. Sijui wamefanyaje, kila mtu akikata na ile keki inalia kama inaumia vile.
Kuna moja pia nliona ya jeneza na maiti. Yani disgusting. Mi kama hizo sitaweza kula yani
Hahahahaaaaaaa kaka salama lakini?
Kama haya ni kweli....basi kutakuwa na vinyamkera vingi.sana....kwenye lile duka la madoli pale mlimani city...loh!!
Kama haya ni kweli....basi kutakuwa na vinyamkera vingi.sana....kwenye lile duka la madoli pale mlimani city...loh!!
Mimi kabla ya kununua kitu lazima nimhusishe Roho Mtakatifu. Huwa siendi kichwa kichwa.Huwa tunafuga majini, vinyamkera, madogoli na roho chafu majumbani kwetu bila kujua. Tunanunua vinyago na midoli ya gharama kwa ajili ya kupendezesha sebule zetu na wakati mwingine kama kampani vitandani mwetu...
Hatutishani lakini ni hatari, vina roho hivi vitu!
Wengi wetu tumeshawahi kuona zana za waganga wa kienyeji na wachawi, hawakosi vinyago na midoli, pia tumeshawahi kuona wale wenzetu waabuduo miungu wana masanamu mengi sana...! Yale yote yamebeba roho na ndio hizo wanazoziabudu.
Kuna roho zinatangatanga duniani hazina makazi baada ya majumba (miili) yao kuharibika (kufa) hivyo huwayawaya huku na kule zikitafuta makazi. Kwa kuwa roho haiwi na nguvu mpaka ipate pa kukaa. Sasa ndugu yangu unajaza midoli nyumbani au kwenye gari au ofisini unavutia na kukaribisha mapepo.
Zipo shuhuda mbalimbali za watu waliofanyiwa mambo au kuona mambo ya ajabu kutoka kwenye midoli na vinyago....
Punguza kuhifadhi hivi vitu vyaweza kuwa na roho zenye madhara makubwa..
Mimi kabla ya kununua kitu lazima nimhusishe Roho Mtakatifu. Huwa siendi kichwa kichwa.
Hayo madude ya Kichina na Nigeria mengi yanaletwa ili yawaingize watu Mashehetwain. Ndio maana Bongo uchawi umekuwa kama Ibada. Watu kumroga mtu imekuwa sifa.
Watu kutafuta uganga ili kupata fedha imekuwa sifa. Tena na JF ipo Mstari wa mbele kutetea Wachawi kuliko kumhubiri Mungu.
Tena na JF ipo mstari wa mbele kumtukana Mungu kuliko kumfundisha Mungu. Wewe weka thread ya kumfudisha Mungu, utaona inafichwa lakini anza kumtukana Mungu, walah , thread yako itapewa wadhifa wa Intelligence. Halafu mnashangaa kwanini Bongo ni Maskini huku mpo hapa mkimtetea Shetani wazi wazi.
Tena na JF wanaruhusu kufundisha uchawi na kuupa sifa kede kede, lakini ukisema ukweli kuhusu Shetani lazima thread yako au post yako itafutwa.
Nyie Tanzania mtaendelea kuwa Maskini wakutupwa mpaka mtakapo mrudia Mungu. Nasema tena Umaskini wa Tanzania hautotoka hata aje Obama kuwa Raisi wenu. Nyie Uchawi umekuwa kama ibada na kabila la Kitanzania.
Natanguliza pole kwa wafuga Majini, Mashehetwain na jamaa wa ile deen ya Mnyaazi Mungu.
IULIZE Biblia kwanini inatumia rangi Nyekundu inapo mnukuu Mungu Mkuu ambaye ni Yesu?Rangi nyekundu ni ishara ya damu angalia isije ikawa nawewe unatumika bila kujijua
Mimi lazima niulize Biblia maana inawea kujitetea yenyewe. Maana, kama NENO la Biblia ni la uzima basi lazima tuushirikishe huo uzima katika maongezi yetu.Kwangu Biblia ni neno la uzima tena takatifu...! Lakini kwenye mjadala siwezi kuiuliza bali nitakuuliza wewe
Mimi lazima niulize Biblia maana inawea kujitetea yenyewe. Maana, kama NENO la Biblia ni la uzima basi lazima tuushirikishe huo uzima katika maongezi yetu.
Sahihi kabisa basi ulipaswa kuniwekea vifungu ingenisaidia mno kupata hakika ya ile argument yako