Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si utakua ni ukeketaji?@Buchanagande
kinaambukiza, na moja ya dalili ni kama picha hii:je kirusi hiki kinaambukiza? maana inasemekana pia wanaume hutokewa navyo
We mkali, nami nimegundua K nyingi haziringani kwenye urefu wa terminal za mashavu yake, nyingi shavu la kushoto ni lefu kuliko la kulia.
Vinatosha kuchoma mishikaki mkuu, maana nasikiaga eti vitamu sana
mungu wangu nkiki??kitu cha govi.
Wakuu cjui nina bahati mbaya au ni nini.katika mademu watano nliyokutana nao kimwili miezi ya hivi karibuni watatu kati yao wana hivyo vinyama kama si kimoja basi ni vitatu.kwa kweli vinaondoa ladha kabisa.je wakuu hivi vinatokana nini na nini madhara yake kama utakutana kimwili na mtu mwenye nacho
Wakuu, kwahivi ninyi nyote ni madaktari eeh? Huyo mgonjwa afuate ushauri upi sasa? Hahahaa
kuchunguza ni muhimu siwezi ingia ndani ya nyumba ya wageni kwakupapasa mlango!We nawe ukimchunguza bata hutomla!!!!!!!!!11 Acha kuchungulia chungulia na kupapasa kuzimu kule, mbona utaenjoy!!!!!!!!!