vinyama vitatu chini ya uke vinatisha

Hahahaha. Yaani
ulivyosema unapiga hivyo hivyo kwa taabu kama vile unataka tukuhurumie!
Umenichekesha sana aisee. Pole mwaya.

inabidi iwe hivyo.ukizingatia umemfuatilia mtu kwa muda mrefu siku ya siku unakutana na maumbile ya ziada
 
Viwanja vyengine ni vya kwenda mbio tu na kufunga magoli,..havitaki mbwembwe. Ukijifanya fundi kila kona wataka kuijua,ndo kama hivyo utakutana na vimbwanga.
 
je kirusi hiki kinaambukiza? maana inasemekana pia wanaume hutokewa navyo
kinaambukiza, na moja ya dalili ni kama picha hii:



  1. Mods mnisamehe kwa hii picha.natoa elimu kwa mhusika.



 
We mkali, nami nimegundua K nyingi haziringani kwenye urefu wa terminal za mashavu yake, nyingi shavu la kushoto ni lefu kuliko la kulia.

hizi laana sasa mjue ni wamama zenu hao
 

ukimgusa tu UKIMWI unao. uliwagusa mkuu? hahahaha!
 
Ni genital warts(condilomata akuminata) vinasababishwa na virusi HPV.Ni Sexual transimited infection
 
sijaelewa ujue!

vinyama???

chini ya uke??

sasa viko wapi??

mpakani mwa uke na anus au?
 
Miezi ya hivi karibuni mademu watano,which means kwa miezi isiyo ya karibu una timu nzima ya cricket...pole sana kwa kazi nzito!
 
Wakuu, kwahivi ninyi nyote ni madaktari eeh? Huyo mgonjwa afuate ushauri upi sasa? Hahahaa
 
Wakuu, kwahivi ninyi nyote ni madaktari eeh? Huyo mgonjwa afuate ushauri upi sasa? Hahahaa

hii mada ilikuwa so late moved kutoka MMU,. Kwa hiyo kila mtu alikuwa na fursa ya kuchangia, ila kwa sababu imeletwa hapa jf-doctor basi wenye uelewa juu ya hii kitu watusaidie!!
 
We nawe ukimchunguza bata hutomla!!!!!!!!!11 Acha kuchungulia chungulia na kupapasa kuzimu kule, mbona utaenjoy!!!!!!!!!
kuchunguza ni muhimu siwezi ingia ndani ya nyumba ya wageni kwakupapasa mlango!
wengine chini ni disaster, rotten!
 
Vinyama vitatu chini ya uke???!!

Labda ni maumbile...kwanini usiwashauri kwenda hospitali??

Na inawezekana unapata shida ila wao kwao ikawa ni kawaida tu,pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…