Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 May 7, 2015 #21 We jamaa lukelo bin sakafu mbona kila siku maswali tu kwani wewe ni uthalama wa taifa
L lukelo sakafu JF-Expert Member Joined Feb 19, 2015 Posts 2,938 Reaction score 517 May 8, 2015 Thread starter #22 Mapovu said: We jamaa lukelo bin sakafu mbona kila siku maswali tu kwani wewe ni uthalama wa taifa Click to expand... sema USALAMA SIO UTHALAMA,mkuu una kithembe
Mapovu said: We jamaa lukelo bin sakafu mbona kila siku maswali tu kwani wewe ni uthalama wa taifa Click to expand... sema USALAMA SIO UTHALAMA,mkuu una kithembe
real toxic JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 533 Reaction score 104 May 8, 2015 #23 lukelo sakafu said: jamani hivi hawa vinyozi uwa wanapelekaga wapi nywele zetu? maana nimejiuliza sana bila ya kupata majibu. Click to expand... Kwani ..unapoOGA maji yanaenda wapi????
lukelo sakafu said: jamani hivi hawa vinyozi uwa wanapelekaga wapi nywele zetu? maana nimejiuliza sana bila ya kupata majibu. Click to expand... Kwani ..unapoOGA maji yanaenda wapi????
Easyway JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 2,606 Reaction score 3,710 May 8, 2015 #24 Wanaziuza Ulaya , ulaya kuna soko sana la nywele hasa za waafrika huwa wanatengenezea mabomu.
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 6,296 Reaction score 6,692 Feb 21, 2016 #25 akishamaliza kuku nyoa omba uondoke nazo wala hakukatazi atakupa mfagio ufagia na uzikisanye uende nazo kwako umuonye mpenzi wako
akishamaliza kuku nyoa omba uondoke nazo wala hakukatazi atakupa mfagio ufagia na uzikisanye uende nazo kwako umuonye mpenzi wako
Rahabu JF-Expert Member Joined Jan 21, 2014 Posts 5,526 Reaction score 3,341 Feb 21, 2016 #26 lukelo sakafu said: Jamani hivi hawa vinyozi wakishanyoa nywele zetu huwa wanazipeleka wapi? Click to expand... Dampo
lukelo sakafu said: Jamani hivi hawa vinyozi wakishanyoa nywele zetu huwa wanazipeleka wapi? Click to expand... Dampo