Vinyozi mnapelekaga wapi nywele zetu?

Vinyozi mnapelekaga wapi nywele zetu?

We jamaa lukelo bin sakafu mbona kila siku maswali tu kwani wewe ni uthalama wa taifa
 
Wanaziuza Ulaya , ulaya kuna soko sana la nywele hasa za waafrika huwa wanatengenezea mabomu.
 
akishamaliza kuku nyoa omba uondoke nazo wala hakukatazi atakupa mfagio ufagia na uzikisanye uende nazo kwako umuonye mpenzi wako
 
Back
Top Bottom