Vinywaji hivi ni vya majambazi/wezi.

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,663
Habari jamiiforums.
Katika pita pita zangu na kati ya mitaa ninayoishi, Nimekutana na hoja ambayo katika hali ya kawaida, sikuweza kusubiri na kupata undani wake,
Wakaaji wa eneo hilo niliwasikia wakisema(vinywaji aina ya Bavaria na Redis mara nyingi huwa ni vinywaji vya majambazi ikiwemo wezi.
Je kuna ukweli wowote katika hili jambo?? Mzizi mkavu
Nb: Sababu Vinywaji hivi vinatumiwa na hao jamaa sabab havina kilevi
 
Last edited by a moderator:

Siyo kweli.
 
...u mean wezi wa me/ke wa watu wengine?
 
Dah! Kama kweli hao jamaa wametumia tafsida ya mbali.

Ujambazi wanaouzungumzia hapo ni uchunaji.
 
Kuna vitu viwili Ulevi na ujambazi ni vitu 2 tofauti jambazi anaweza kuwa ni

mtu yoyote yule mbaya na mlevi anaweza kuwa mtu yoyote yule awe mtu mzuri au mtu mbaya. Sasa jaribu kutofautisha kati ya mlevi

jambazi na mlevi mtu mzuri. Unaweza kunywa wewe hivyo vinywaji je tuseme na wewe pia ni jambazi? acheni fikra mbaya hizo hakuna

kinywaji che jambazi. Mambo ya Ujambazi ni tabia ya mtu aliyekuwa nayo hata wewe ukitaka waweza kuwa ni jambazi au mlevi samahani

kama nimekukwaza.
 

Sasa MziziMkavu anahusikaje na huo uzi wako?
 
Last edited by a moderator:

redis ndio kinywaji gani? Kama ulimaanisha redds basi hiyo redds kwa taarifa ina kilevi. Kama redbull sawa hiyo haina kilevi.
 
Last edited by a moderator:
redis ndio kinywaji gani? Kama ulimaanisha redds basi hiyo redds kwa taarifa ina kilevi. Kama redbull sawa hiyo haina kilevi.


Redbull ndani yake ina kaffeina, kaffeina inapatikana pia katika chai ya rangi, kahawa na soda zote zenye rangi nyeusi. Kaffeina ni madawa ya kulevya kundi la stimulant drugs, hivyo redbull nayo si salama hasa kwa watoto wanaosoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…