MamaBeata
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 325
- 112
Redbull ndani yake ina kaffeina, kaffeina inapatikana pia katika chai ya rangi, kahawa na soda zote zenye rangi nyeusi. Kaffeina ni madawa ya kulevya kundi la stimulant drugs, hivyo redbull nayo si salama hasa kwa watoto wanaosoma.
Fadhili Paulo katika hali ya kawaida tunaposema kilevi tunamaanisha alcohol sasa we sijui umeyatoa wapi hayo ya caffeine
Last edited by a moderator:
