Redbull ndani yake ina kaffeina, kaffeina inapatikana pia katika chai ya rangi, kahawa na soda zote zenye rangi nyeusi. Kaffeina ni madawa ya kulevya kundi la stimulant drugs, hivyo redbull nayo si salama hasa kwa watoto wanaosoma.
redis ndio kinywaji gani? Kama ulimaanisha redds basi hiyo redds kwa taarifa ina kilevi. Kama redbull sawa hiyo haina kilevi.
Mi najua ni vinywaji vya MASHOGA WALIOKUBUHU
Fadhili Paulo katika hali ya kawaida tunaposema kilevi tunamaanisha alcohol sasa we sijui umeyatoa wapi hayo ya caffeine
Redbull ndani yake ina kaffeina, kaffeina inapatikana pia katika chai ya rangi, kahawa na soda zote zenye rangi nyeusi. Kaffeina ni madawa ya kulevya kundi la stimulant drugs, hivyo redbull nayo si salama hasa kwa watoto wanaosoma.
Redbull kama jina lake lilivyo ni pombe hatari sana. Origin yake ilikuwa ni Jeshini wakati wa Vita ilikuweza kuwaliwaza wanajeshi. Ni pombe hatari sana na imepigwa marufuku baadhi ya nchi.
Habari jamiiforums.
Katika pita pita zangu na kati ya mitaa ninayoishi, Nimekutana na hoja ambayo katika hali ya kawaida, sikuweza kusubiri na kupata undani wake,
Wakaaji wa eneo hilo niliwasikia wakisema(vinywaji aina ya Bavaria na Redis mara nyingi huwa ni vinywaji vya majambazi ikiwemo wezi.
Je kuna ukweli wowote katika hili jambo?? Mzizi mkavu
Nb: Sababu Vinywaji hivi vinatumiwa na hao jamaa sabab havina kilevi
Sijawahi kumsikia Kova akitangaza kuwa majambazi yalikutwa na silaha aina ya redbull na bavaria.
Nakuunga mguu Mkuu, hata bia wala soda sijawahi sikia. Huwa nasikia Kova akitaja Gongo na Bangi pekee. Kwa hiyo Gongo na Bange ndiyo starehei ya majambazi!
Kwanza umenikumbisha ngoja nikavute bange
Redbull kama jina lake lilivyo ni pombe hatari sana. Origin yake ilikuwa ni Jeshini wakati wa Vita ilikuweza kuwaliwaza wanajeshi. Ni pombe hatari sana na imepigwa marufuku baadhi ya nchi.