Vinywaji soft drinks za ulaya siyo tamu kama za huku Afrika

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,559
Reaction score
12,518
Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania?

Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.
 
Ni kweli kabisa, suala ni kwamba huku tumezoea lambalamba tofauti na wazungu. Pia sukari wanayotumia wazungu ni grade one wakati huku tunatumia sukari kama sukari gulu. Tumezoea utam utam. Lkn hata hivi wenzetu wanajitahidi na kutambua madhara ya sukari, sisi huku hadi ujilambe ndio utajua sukari imekolea
 
Sukari ni tamu sasa tufanyaje😂wawek na kaalovera kidogo ndo tutaacha 😃
 
Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania?

Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.s
Wamepunguza sana sukali baada ya watu wengi kuathirika sana na ugonjwa wa kisukali ( diabetic type 2), uku Africa, Tanzania watu wengi Sasa hivi wanaumwa kisukali.
 
Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania?

Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.
Jibu lake linajibiwa kwa swali,jiulize kwanza kwanini Africa inaongoza kwa magonjwa kama ukimwi, pressure, kisukari,kansa nk,,kifupi ni kwamba hatujijali.
 
Ni kweli kabisa, suala ni kwamba huku tumezoea lambalamba tofauti na wazungu. Pia sukari wanayotumia wazungu ni grade one wakati huku tunatumia sukari kama sukari gulu. Tumezoea utam utam. Lkn hata hivi wenzetu wanajitahidi na kutambua madhara ya sukari, sisi huku hadi ujilambe ndio utajua sukari imekolea
Bahati mbaya wao ndio wanaongoza kwa magonjwa ya diabetes , obesity na cancer
 
Mbongo ukitaka umwuuzi wew mwambie atumie sukari kidogo
 
Ni kweli kabisa, suala ni kwamba huku tumezoea lambalamba tofauti na wazungu. Pia sukari wanayotumia wazungu ni grade one wakati huku tunatumia sukari kama sukari gulu. Tumezoea utam utam. Lkn hata hivi wenzetu wanajitahidi na kutambua madhara ya sukari, sisi huku hadi ujilambe ndio utajua sukari imekolea
Mbona nao wakija Afrika wanafakamia? Nimefanya kazi na waholanzi, waMarekani na Wairish; wakifika hotelini cha kwanza ni coke baridi!
 
Back
Top Bottom