Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Wanadhibiti matumizi makubwa ya sukari kulinda Afya za wananchi waoNi jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania?
Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia
Sukari ni tamu sasa tufanyaje😂wawek na kaalovera kidogo ndo tutaacha 😃Ni kweli kabisa, suala ni kwamba huku tumezoea lambalamba tofauti na wazungu. Pia sukari wanayotumia wazungu ni grade one wakati huku tunatumia sukari kama sukari gulu. Tumezoea utam utam. Lkn hata hivi wenzetu wanajitahidi na kutambua madhara ya sukari, sisi huku hadi ujilambe ndio utajua sukari imekolea
Wamepunguza sana sukali baada ya watu wengi kuathirika sana na ugonjwa wa kisukali ( diabetic type 2), uku Africa, Tanzania watu wengi Sasa hivi wanaumwa kisukali.Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania?
Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.s
Jibu lake linajibiwa kwa swali,jiulize kwanza kwanini Africa inaongoza kwa magonjwa kama ukimwi, pressure, kisukari,kansa nk,,kifupi ni kwamba hatujijali.Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania?
Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.
Bahati mbaya wao ndio wanaongoza kwa magonjwa ya diabetes , obesity na cancerNi kweli kabisa, suala ni kwamba huku tumezoea lambalamba tofauti na wazungu. Pia sukari wanayotumia wazungu ni grade one wakati huku tunatumia sukari kama sukari gulu. Tumezoea utam utam. Lkn hata hivi wenzetu wanajitahidi na kutambua madhara ya sukari, sisi huku hadi ujilambe ndio utajua sukari imekolea
Mbona nao wakija Afrika wanafakamia? Nimefanya kazi na waholanzi, waMarekani na Wairish; wakifika hotelini cha kwanza ni coke baridi!Ni kweli kabisa, suala ni kwamba huku tumezoea lambalamba tofauti na wazungu. Pia sukari wanayotumia wazungu ni grade one wakati huku tunatumia sukari kama sukari gulu. Tumezoea utam utam. Lkn hata hivi wenzetu wanajitahidi na kutambua madhara ya sukari, sisi huku hadi ujilambe ndio utajua sukari imekolea
Tulio fika ulaya sasa😂😂Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania?
Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.