Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,408
Reaction score
6,094
unishukuru Baadae...

1.Viceroy na Soda water...vichupa viwili maliza hapo kula vizuri kafinye mtu.

2.konyagi ndogo na soda water ..vichupa viwili mix na kile kinywaji chekundu cha italy utaniambia balaa lake.

3.Black and white mix na tonic kwa mbaali sana piga ya kutosha utaweka heshima balaa.

4.power Juice changanya na whisky yoyote piga ila uwe unalala nae maana bila bao 3 hutakaa sawa vile vipower ni balaa sana.

Hivi vinywaji vinafanya damu iwe thin na ni thinners ya damu so inasaidia mzunguko wa damu, so erection inakua juu sana.

ukitaka kupata mbegu nyingi kula nuts, tafuta na mbegu za maboga zilizokaangwa ni balaa kabisa...kula nuts for two days..mix na hivyo vinywaji utaniambia.

usinywe wine wakati wa show,inalegeza...kula msosi wa kawaida ila uwe na cabohydrate.

Show njema.

NB: Hii ni kuanzia 55 kwenda mbele chini ya hapo kuleni matikiti na mfanye mazoezi
acheni chipsi na nyama
 
Aisee

A89AEB19-1FD4-40DC-BBAA-514492D7591D.jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Mmmh siku hizi vichwa vidogo vinaongoza mwili mzima 24/7
 
Ukila ukashiba na ukanywa maji mengi, mawazo ukayaweka pembeni, shooo itakubali tuuuu
 
Back
Top Bottom