Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

Tunashughulika mkuu mpaka kuna mda mtu unashangaaa unapokutana na mambo kama Haya JF hayo makorokoro n ya wazee kuanzia miaka 65 huko
Hahahahaha,,SA hivi kijana akiwa anaenda kweny shooo anajikoki ,hivhiv Ngoma haifanyi kazi
 
Mmmmhh,,nyie hamshughuriki sana
Tunashughulika mkuu mpaka kuna mda mtu unashangaaa unapokutana na mambo kama Haya JF hayo makorokoro n ya wazee kuanzia miaka 65 huko
Hahahahaha,,SA hivi kijana akiwa anaenda kweny shooo anajikoki ,hivhiv Ngoma haifanyi kazi
N ujinga kujiendekeza na machips tu mpaka damu inakuwa nzito n lishe tu mkuu hizo makorokoro hazina ishu halafu watu wanaenda na biti la wabongo
 
hizi formula ni za kuanzia 55 kwenda mbele nyie huko chini au chini ya hapo fanyeni mazoezi mle na matikiti....
 
unishukuru Baadae...

1.Viceroy na Soda water...vichupa viwili maliza hapo kula vizuri kafinye mtu

2.konyagi ndogo na soda water ..vichupa viwili mix na kile kinywaji chekundu cha italy utaniambia balaa lake

3.Black and white mix na tonic kwa mbaali sana piga ya kutosha utaweka heshima balaa

4.power Juice changanya na whisky yoyote piga ila uwe unalala nae maana bila bao 3 hutakaa sawa vile vipower ni balaa sana

Hivi vinywaji vinafanya damu iwe thin na ni thinners ya damu so inasaidia mzunguko wa damu, so erection inakua juu sana..

ukitaka kupata mbegu nyingi kula nuts, tafuta na mbegu za maboga zilizokaangwa ni balaa kabisa...kula nuts for two days..mix na hivyo vinywaji utaniambia

usinywe wine wakati wa show,inalegeza...kula msosi wa kawaida ila uwe na cabohydrate

Show njema


NB: Hii ni kuanzia 55 kwenda mbele chini ya hapo kuleni matikiti na mfanye mazoezi
acheni chipsi na nyama
[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1]hata energy iko good kwa ss vikongwe Ni burster nzuri tu
 
Kuna kinywaji kinaitwa "akayabagu" walio mipakani na Rwanda,Uganda,Drc,mikoa ya geita,kigoma,Kagera wanakijua vzuri,ni juisi iliyosheheni tangawizi,inatibu kisukari,mgongo,tumbo,ila wahuni wanakitumia zaidi kama booster,Show yake lazima manzi aombe maji[emoji97]
 
Tule mshada kama tunataka kushughulikia mwanamke zaidi ya mmoja
 
Back
Top Bottom