Vinywaji vinavyoongeza perfomance kwenye Show

Tunashughulika mkuu mpaka kuna mda mtu unashangaaa unapokutana na mambo kama Haya JF hayo makorokoro n ya wazee kuanzia miaka 65 huko
Hahahahaha,,SA hivi kijana akiwa anaenda kweny shooo anajikoki ,hivhiv Ngoma haifanyi kazi
 
Mmmmhh,,nyie hamshughuriki sana
Tunashughulika mkuu mpaka kuna mda mtu unashangaaa unapokutana na mambo kama Haya JF hayo makorokoro n ya wazee kuanzia miaka 65 huko
Hahahahaha,,SA hivi kijana akiwa anaenda kweny shooo anajikoki ,hivhiv Ngoma haifanyi kazi
N ujinga kujiendekeza na machips tu mpaka damu inakuwa nzito n lishe tu mkuu hizo makorokoro hazina ishu halafu watu wanaenda na biti la wabongo
 
hizi formula ni za kuanzia 55 kwenda mbele nyie huko chini au chini ya hapo fanyeni mazoezi mle na matikiti....
 
[emoji38][emoji1][emoji1][emoji1]hata energy iko good kwa ss vikongwe Ni burster nzuri tu
 
Kuna kinywaji kinaitwa "akayabagu" walio mipakani na Rwanda,Uganda,Drc,mikoa ya geita,kigoma,Kagera wanakijua vzuri,ni juisi iliyosheheni tangawizi,inatibu kisukari,mgongo,tumbo,ila wahuni wanakitumia zaidi kama booster,Show yake lazima manzi aombe maji[emoji97]
 
Tule mshada kama tunataka kushughulikia mwanamke zaidi ya mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…