VIOJA Bungeni No.1

Yaani bunge hili la katiba ...hakuna hata 'Order' hakuna utulivu...! Inakera
 
Nionavo mie hawa Umi, Sendeka na Serukamba wana lao jambo. Hivi wanajipanga kwenye ajenda yenyewe ya katiba. Kama si kutumwa na chama basi wadhibitiwe.
 
Yaani bunge hili la katiba ...hakuna hata 'Order' hakuna utulivu...! Inakera
Mkuu hapa bado bunge rasmi halijaanza kwani sasa wajitungia kanuni hivo ni semina tu wanayofanya.
 


Wa kulaumiwa ni aliyewateua!!
 
Silisikitii bunge hili bali ni waliochuja majina na hatimaye kuteua wanaoona wanafaa kuingia bungeni...
 

Aliye sema eti wazee wote watakufa na kutuachia katiba yetu ni some body Shaka from zenj na kiingereza kibovu kuonyesha msisitizo. Nanukuu 'In biologically wazee wote mtakufa na kutuachia vizazi vijavyo kutulaumu kwa hiyo nataka kura ya wazi tujue nani alisema nini' alikuwa anaongea kwa jazba sana
 
Haliitwi bunge maalum la katiba! bali linaitwa Bunge la Laana ya katiba!
 
"...Mheshimiwa mwenyekiti, wanawake wa kiislam wakiwa kwenye zile siku zao mbaya dini inawakataza kushika msahafu, hivyo tunaomba basi iwekwe namna ya kuwaapisha bila kushika msahafu!!... na wanaume wa kiislamu lazima wawe na udhu …"
ni mdada mmoja ivi toka nchi jirani,anavopayuka utadhani anaongea vya maana
Mkuu kwa waislamu linapokuja suali la kushika kitabu kitakatifu ,ni kweli mwanamke kama hayuko tohara haruhusiki na mwanamume pia ,sasa inawezekana siku ya kuapishana watu hao wakawa hawako tohara kwa hiyo lazima itafutwe namna ya kuwaapisha,kinyume chake wengi wao wataapishwa siku tofauti tofauti! hakuna mpayukaji hapo bali tatizo liko kwenye ufahamu wako juu ya imani za watu wengine!
 

Hallow 124Ali hebu tusiingie kwenye Dini, tubaki ktk mtindo wa kutoa hoja. Hayo unayoandika ni sahihi kabisa na ndivyo muislam anayefuata anatakiwa kufanya siku ya kiapo. Tatizo langu ni kusema hayo ndani ya mjadala wa Bunge. Hapo busara huwa inatumika, Lazima mtu achague maneno kwa staha ili bunge lisigeuke erotic film.

Kila muislamu alifundishwa hayo na yanarudiwa kwenye nyumba za ibada. Kumbuka sisi ni waafrika kuzungumuzia mambo ya maumbile kwa njia hii lazima tuseme huyu hakuwa na hoja kwa wasikilizaji.

Waislamu wamekuwa wakiapa siku zote Bungeni na mahakamani kwa ufahamu wao. Mbona sijawahi kusikia kwamba shahidi kagoma kuapa mahakamanai kwa sababu kama hiyo. Wengine huwa tunatia mashaka lakini yote tunamwachia anayeapa. Hiyo juu yake!!
 
Kuwa tohara ni nini kwa mwanamke na mwanamme?
 
Mkuu usitegemed jambo la maana toka kwa maccm, akili zao wamezikabidhi kwa viongozi wao hayo unayoyaona hapo ni mazombi tu.
ni kweli kabisa mkuu, maccm wamekuwa mazombie na machadema wamekua misukule kwani akili zao wameshikiwa na viongozi wao.
 
Umi huyu ni shida sana sijui hata kama kaolewa na kama kaolewa basi atakuwa na fujo sana kitandani
 
Ndugu yangu mimi hata sikujaliwa kulkisikiliza hilo bunge hiyo siku ,bali nimefafanua kwa mujibu wa nukuu iliyobandikwa hapa jamvini,pia suali lililojadiliwa ni la viapo na viapo vinaambatana na imani ya mtu ,kwa hiyo hapo hatuingizi udini pia pale kuna makundi ya watu wa imani tofauti mjumbe alijenga hoja kwa madhumuni kuwa kwa waislamu linaweza likatukia hivi je tunayo njia mbadala ya kumwapisha mtu huyu?sasa lazima aeleze kwa uwazi kwa kadri awezavyo juu ya jambo hilo ili watu wa imani nyengine waweze kumwelewa!
 
Kificho ameonesha udhaifu mkubwa
 
Kificho ameonesha udhaifu mkubwa
No. He is not. The old man has shown a resilience tolerance...! Remember it is not easy to supervise the gathering of such kind (with people whom the word respect is a problem in practical manner)
 
hili ni bunge la vituko. Tutegemee vituko zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…