Ni kosa la mshereheshaji
alishindwa kutaja vema jina la tuzo na msanii anepewa,na ndio maana yule
jamaa akapanda jukwaani kutoa ufafanuzi kwa
mshereheshaji.:llama::llama:
Hey!hey! Mwl,JK hajawahi kuwa msanii ila DR JK ndiye msanii!kwamba mshereheshaji huyu hakujua kuwa Mwl JK Nyerere hayupo duniani tangu 1999?au ndio kukurupuka?