Fatma Bawazir
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 491
- 180
katika pirika pirika ya serekali ya kenya kufanya msako wa mashoga kuwakamata na kuwashitaki shoga mmoja alitiwa mbaroni na buruzwa mahakamani na kusimamishwa kizimbani ikawa hivi
hakimu= unashtakiwa kwa kosa la kufanya ushoga jitetee
shoga= samahani bwana hakimu mimi nilikuwa sijui kama makalio ni mali ya serekali
fatma ww ni mwandishi wa habari?or im mistakenkatika pirika pirika ya serekali ya kenya kufanya msako wa mashoga kuwakamata na kuwashitaki shoga mmoja alitiwa mbaroni na buruzwa mahakamani na kusimamishwa kizimbani ikawa hivi
hakimu= unashtakiwa kwa kosa la kufanya ushoga jitetee
shoga= samahani bwana hakimu mimi nilikuwa sijui kama makalio ni mali ya serekali
Fatma mbona ulipotea hivyo wajameni ? kutokujua sheria sio utetezi,sheria itachukua mkondo wake.
Kwa mujibu wa waalimu wangu wa Primary: ****** ni Nyama halali ya Serikali.. Hata wakati wa mboko, nyama ya Serikali ndiyo ilikuwa inatumika.... Kwa hiyo Serikali ina haki kabisa kumfunga au kumnyonga huyo Bwabwa kwa kuidhalilisha nyama yake...