Vioja na viloja kwenye soka

Vioja na viloja kwenye soka

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Saa 4 zilizopita:
Klabu ya uturuki Kasimpasa fc ilitangaza meneja wao mpya İbrahim Üzülmez ambaye aliwasili katika mkutano wa waandishi wa habari kusaini mkataba mpya.

Saa moja iliyopita: Kasimpasa fc wametangaza kuwa wamfukuza kazi kocha wao mpya Ibrahim Üzülmez baada ya mkutano wa waandishi wa habari.
[emoji2398]Soka_App
IMG-20190601-WA0061.jpeg
 
Labda kuna sababu za msingi za kumfukuza.

Kuna vigezo walivyotegemea kumkuta navyo hawajamkuta navyo.
 
Back
Top Bottom