Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kimoja ni hiki hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ni ukweli kwa tuliopitia haya au tunayapitia
Mhusika hapo juu alikuwa na kesi ya matunzo ya mtoto Mahakama ya Usuluhishi TemekeLakini ni ukweli kwa tuliopitia haya au tunayapitia
🤣🤣So yupo kujioshaMhusika hapo juu alikuwa na kesi ya matunzo ya mtoto Mahakama ya Usuluhishi Temeke
Wakina mama Oyeeeee
Hapana, hiyo kesi ndio inadhihirisha kuwa kweli kipato cha mwanamke ndio kilikuwa kinahudumia familia.🤣🤣So yupo kujiosha
Umeniwahi kuulizaHuyo jamaa anazungumzia taifa gani?
🤣🤣🤣 HakikaHapana, hiyo kesi ndio inadhihirisha kuwa kweli kipato cha mwanamke ndio kilikuwa kinahudumia familia.
Hilo toto limekamilika kasoro mavazi tu🤒
Wewe maoni yako nini?
kinyume chakeWewe maoni yako nini?
Huyu jamaa halafu hizi mada zake humu jukwaani ni kwa ajili ya nini? Nani huwa anazianzisha? Maana naona maneno maneno tu na miushuzi ila hakuna kitu humo. Jamaa ni litapeli balaa. Kuchwa kafulila hivi kafulila vile na vijimada vyao vya kijinga jinga!