Vioja vya Siku ya Wanawake Duniani vyaanza, Sifa za Uongo zaanza kumiminwa

Vioja vya Siku ya Wanawake Duniani vyaanza, Sifa za Uongo zaanza kumiminwa

Mwanaume usipompa hela mwanamke anakuona tàkataka tuu.
Sahihi hata mwanamke awe bilionea mwqnaume usisahau kumpa hata hela ndogo ya saluni tu atafurahi hata kama ukimpa kidogo

Lakini kutompa hela kisa yeye ana pesa ndio agharimie lazima kitainuka cha kuinuka tu na atakudharau hadi ukome na kujuta kumuoa
 
Sasa mwambie huyo Kafulila akumbuke kipindi anadaiwa hela ya matunzo na mbunge anayelipwa 18m kwa mwezi.
Hela ya mke Mwanaume hutakiwi kuilalia mlango wazi

Mke wa Kafulila alikuwa na haki kudai pesa ya matunzo kutoka kwa mumewe waliyezaa naye mtoto na Kafulila

Kuwa mwanaume ni lazima utunze ulichozaa.Mke hata akiwa bilionea haimhusu wewe toa matunzo kwa kipato uko nacho hata kama chako laki mbili kwa mwezi chake milioni 18

Mtoto ana haki kote kwa baba na mama kwenye gharama za matunzo

Na mwanaume ndio anatakiwa kutoa zaidi sababu ndie kaoa
 
Back
Top Bottom