VIOJA VYA UKWENI

VIOJA VYA UKWENI

mkulungwa02

Senior Member
Joined
May 24, 2020
Posts
193
Reaction score
154
Kuna mwana jamvi yeyote amewahi kwenda ukweni akakutana na kioja chochote?
Atiririke hapa chini ili sisi tunaotarajia kwenda hivi karbuni tujifunze vipi vya kufanya na vp sio vya kufanya .........
 
Hahaha pale nilipojikuta napendwa na wakwe Zaidi ya mtoto wao………… Sijui kama ni kioja au ilikuwa ni bahati.

Nawapenda sana wakwe zangu. Mungu azidi kuwaweka.
Hahahaha hcho kioja
Mtoto wao anatakiwa akupende zaidi halafu wakwe zako waizinishe na kuupenda uhusiano wenu bac
 
Hata mimi nilijua hivyo zamani ila baada ya miaka yote hii bado sijaona tatizo so far...…… Labda mwezi bado haujaandama!
usiwe na wasiwasi mkuu, Mungu kakujaalia wakwe wazuri,na wewe wapende kupita wao maisha yawe mazuri...
 
Kuna mwana jamvi yeyote amewahi kwenda ukweni akakutana na kioja chochote?
Atiririke hapa chini ili sisi tunaotarajia kwenda hivi karbuni tujifunze vipi vya kufanya na vp sio vya kufanya .........
Kaka sisi wengine bad tunanyonyaa TU
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom